Igunga: CCM yaihofia CUF.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
akiongea na waandishi wa habari huko igunga meneja kampeni wa ccm mwigulu nchemba anasema wao wanaihofia cuf na sio chadema kwa kuwa uchaguzi wa mwaka jana walipata kura 11,321 na mgombea wa chama cha mapinduzi Rostam aziz alipata kura 28,643 kwa hiyo Cuf wanamtaji na mgombea wao ni yule yule ndio maana sasa tumeanza kuikabili CUF alisema mwigulu nchemba kampeni meneja wa CCM. soma majira 25.09.2011.
 
Hata uchaguzi mkuu uliopita kwa nafasi ya Urais,Makamba mkubwa alitamka hayo hayo lakini baada ya kura kupigwa kila mtu anayajua yaliyotokea...mpaka leo wanaweweseka!
 
wakristo wengi wana chuki na kikwete kwa kuwa alipoingia tu kuongoza nchi alifuta misaada kwa madhehebu ndipo chuki ikaanza
 
wakristo wengi wana chuki na kikwete kwa kuwa alipoingia tu kuongoza nchi alifuta misaada kwa madhehebu ndipo chuki ikaanza

sio kosa lako ila ni ukosefu wa elimu dunia ndio unakufanya utumie masaburi yako kufiki.
 
Hivi hawa sisiemu washatuona waTZ mazuzu wa kudanganywadanganywa tu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom