Hivi wewe ni mwana CHADEMA kweli?Hata Mwl. kashindye akikubali je wananchi watakubali? tukumbuke kuwa hao wanaopiga kura kuteua haya majina si wananchi kwa wingi wao bali ni kakikundi ka watu wachache.
Nilicho kizungumzia na kukitegemea ndicho kilichotokea wamempitisha kijana anayeitwa Kube ambaye alikuwa kinara wa rushwa ni vema uongozi wa juu ukafanya uchunguzi wa kina huyu kijana katokea wapi, fedha kapewa na nani na je lengo lake ni mini? Mwisho namalizia tena bila Mwl.Kashindye CDM Igunga itakuwa imejichimbia kaburi.
cdm mwaka huu kuna rushwa kali,geita mjini ilikuwa mikononi mwa cdm 99% baada ya kura za maoni sasa ni mali ya ccm 99.3%
Hivi wewe ni mwana CHADEMA kweli?
CHADEMA ni chama cha democracy unaposema wajumbe ni kakikundi cha Watu wachache una maana gani?
Alafu kwanini unashinikiza makao makuu wamchague mtia nia kwa nguvu?
Kaa ukijua CHADEMA kimejipambanua kwa misingi ya haki, usawa, democracy na uzalendo Naomba viongozi wa CHADEMA mkoa wawatafute Watu wa aina yako kwenye chama na waangalie namna ya kuwashughulikia kama Zitto sababu nyie ndio mnaoleta mpasuko kwenye chama.
Namuunga Mkono Mwl. KASHINDYE kwa nguvu
Zote apeperushe bendera ya CHADEMA IGUNGA.
Acha kuweweseka wewe! Mwambie ahamie rasmi ACT - Wavamizi ili wampe ukurugenzi na gari. Kwanza huyo Mwalimu asiyejitambua aliweza kurubuniwa na Zitto kiasi cha kusababisha mtikisiko wa wanachama waliojitolea kwenye uchaguzi mdogo wa marudio ambapo walitumia fedha na damu zao katika kuhakikisha Nwalimu asiyejitambua kupata ushindi. Matokeo ya Igunga ameyasababisha yeye mwenyewe na wala asimtafute mchawi.
Kama anapendwa kweli kwa maelezo yako, then huna haja ya kuwa na wasiwasi. Nyie mpitisheni kura za maoni tu.
Hata Mwl. kashindye akikubali je wananchi watakubali? tukumbuke kuwa hao wanaopiga kura kuteua haya majina si wananchi kwa wingi wao bali ni kakikundi ka watu wachache.
.....wakabadilika ghafla na kujipanga kwa nguvu zote kuhakikisha wanamwangusha katika kura za maoni....
Matokeo Jimbo la Igunga
1.Samson Kube159
2.Joseph Kashindye 100
3.Ngasa 15
Tatizo kubwa wengi wa wajumbe elimu yao bado ndogo hivyo ni rahisi kurubunika na hususani linapokuja suala la kupewa fedha kwani Jamii nyingi za huku ni masikini kumbuka uchaguzi mdogo 2011 watu waliweza kutoa kura kwaCCM kwa kupewa kisadolini cha mahindi yaani kg 3.Wamepanga kumwangusha kivipi?kupitia njia halali ya kura za maoni au!?
Ndugu nina uhakika na ninachokimaanisha hao 159 ndio wapo nyuma ya huyo mshindi wao lakini kwa sisi wananchi kwa wingi wetu Mwl.Kashindye ndio chaguo letu kwani ni mwenzetu tofauti na hawa wanaokuja kwa lengo la kutafuta ajira za Ubunge.Naona kakikundi ka watu wachache kameshinda.CC Kibogo
nimefuatilia sana suala la mleta mada, pamoja nakuonesha mahaba kwa Mwalimu Kashindye ila anayoyasema kuhusu mgombea aliyeshinda ni sahihi. wakuu ni dhahiri kwamba uchauzi huu umulikwe na hata ushindi utenguliwe. Samson amepata ushindi kiCCM kwa kugawa rushwa kwa wajumbe
nimefuatilia sana suala la mleta mada, pamoja nakuonesha mahaba kwa Mwalimu Kashindye ila anayoyasema kuhusu mgombea aliyeshinda ni sahihi. wakuu ni dhahiri kwamba uchauzi huu umulikwe na hata ushindi utenguliwe. Samson amepata ushindi kiCCM kwa kugawa rushwa kwa wajumbe
Mchungaji karudi kufundisha basi nayeye akafundishe ...alipoacha kazi..mamboya rasi li mali yakwenu
Yaani bora usingekuja mbona wamemkatillia.mbali.nzega.wamempa.nani???