IGP unajua kuwa polisi ni sawa na mtoto yatima?

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,323
Dola ni kama mtoto yatima, inaondokewa na baba mlezi (jk+ccm) wananchi ndio wenye jukumu la kuipatia hiyo dola baba mlezi mwingine kutoka nyumba ya ccm au nyumba nyingine. wakati zoezi hili linafanyika huyu mtoto yatima(dola) hatakiwi kuwaelekeza wananchi cha kufanya. Kimaadili hapaswi kuonyesha makeke yoyote maana hana mamlaka ya kuchagua baba.
 
Back
Top Bottom