IGP Sirro: Tuwafichue, Magaidi, Majambazi na wenye viashiria vya uhalifu ktk jamii yetu

Kuna Mahali flani kulikuwa na kambi ya Hawa waislamu wenye itikadi Kali ilikuwa inawafundisha vijana technic za kivita Kwa zile bunduki bandia pamoja na phiscally attack
Basi nikamfikishia Askari mmoja hiyo taarifa jina lake ninalo
Hakulifanyia kazi jambo Hilo kabisa wakati ule ghafla likapigwa lile Kanisa la kule Olasti Arusha na Mgahawa mmoja kule Kanisa road uzunguni
Siku Moja nikakutana na yule Askari nikamkumbusha vipi zile taarifa ulizifanyia kazi?
Akaniambia acha umbea wewe ...Nikamuambia poa.
Baada ya hapo huyu Askari akawa hata hanisalimii tena
Siku Moja wakati naongea na Jamaa mmoja hivi ambae nae ni Answar yule Askari akapita wakasalimiana vizuri
Baadae huyu jamaa yangu ndio akaniambia kuwa wanasali msikiti mmoja na huyu Afande so nikaelewa kitu tayari
Ndo ukome umbea Hauna posho

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
hilo swali ni sawa na kumuuliza Mbowe kwa nini inadaiwa kuwa alidhamiria kulipua vituo vya mafuta na sehemu nyeti za Serikali?
Jibu atakuwa nalo Mbowe mwenyewe, vivyo hivyo Jibu alikuwa nalo Gaidi Hamza mwenyewe na walio mtuma kutekeleza mauaji.

tusikubali kutumiwa au kutumika vibaya, haswa na wanasiasa.

Nafikiri kama akili ingekua na afya njema ungejiuliza kwa nini Hamza asifanye kama wafanyavyo magaidi wengine kwa hayo uliotaja juu ya dhamirio la Mbowe. ingekutosheleza kuelewa.
 
Tulivyojaribu kufichua majambazi wa kura mlitubambikia kesi.
Leo mnatuomba tuwasaidie kazi zenu tuzidi kuhatarisha maisha yetu.
 
Kuna Mahali flani kulikuwa na kambi ya Hawa waislamu wenye itikadi Kali ilikuwa inawafundisha vijana technic za kivita Kwa zile bunduki bandia pamoja na phiscally attack
Basi nikamfikishia Askari mmoja hiyo taarifa jina lake ninalo
Hakulifanyia kazi jambo Hilo kabisa wakati ule ghafla likapigwa lile Kanisa la kule Olasti Arusha na Mgahawa mmoja kule Kanisa road uzunguni
Siku Moja nikakutana na yule Askari nikamkumbusha vipi zile taarifa ulizifanyia kazi?
Akaniambia acha umbea wewe ...Nikamuambia poa.
Baada ya hapo huyu Askari akawa hata hanisalimii tena
Siku Moja wakati naongea na Jamaa mmoja hivi ambae nae ni Answar yule Askari akapita wakasalimiana vizuri
Baadae huyu jamaa yangu ndio akaniambia kuwa wanasali msikiti mmoja na huyu Afande so nikaelewa kitu tayari

umefanya haraka sana kupost hii ungesubir kwanza huko huko chooni ukimaliza kuhara uje sasa kuposti habari za kiutu uzima wenye afya nzuri ya akili wakuelewe.
 
Back
Top Bottom