IGP Sirro: Tuwafichue, Magaidi, Majambazi na wenye viashiria vya uhalifu ktk jamii yetu

Kwa kifupi tu,kamanda siro wananchi wanataka utoe kibanzi kilichopo jichoni mwako kwanza kisha uje unene hayo uliyotaka kwao.
 
there will be an agreement btn informants and Police officer, that your identity shall not be disclosed. you will remain anonymous.
don't worry about it, just reveal information to police, what is needed is genuine information that's all.
 
Okay. Do you think that might work !? They need to be more innovative.
 
maeneo yenye wahalifu wengi ktk Mkoa wa DSM ni;
1. Mbagala
2. Mbabibo/Kigogo
3. Manzese
4. Sinza
5. Magomeni.
6. Kigamboni
7. Tegeta
8.
9.
10.
Maeneo hayo yamekuwa na wahalifu wa aina zote, wauza dawa, wezi, majambazi, n.k
 
sio lazima ufike kituoni bali unaweza kupiga simu tena unaweza kumpigia mkuu wa kituo moja kwa moja na taarifa zako zikawa siri, jambo la msingi ni taarifa ziwe za kweli, hata kama kuna baadhi ya wafuasi wa Chama fulani wanapanga mipango ya kihalifu wewe toa taarifa kwa njia ya simu.
lengo ni kuwashughulikia wale wote wenye nia mbaya ya kuvuruga amani yetu, lazima washughulikiwe bila huruma.
Apia.
 
IGP Siro ameyazungumza maneno hayo wakati akitoa heshima zake za mwisho kwa Mashujaa Askari 4 walio uwawa na Jambazi/Gaidi Hamza wakiwa kazini.

Jambo la msingi amesisitiza watanzania wote wapenda amani tuwafichue wahalifu wote ktk maeneo yetu.

Katika familia zetu kuna baadhi wanatabia za kijambazi tuwaripoti, ktk mitaa yetu kuna watu wana matendo ya kijambazi tuwafichue ili Jeshi la Polisi na vyombo vya usalama viweze kufuatilia nyendo zake.

Kamwe tusifumbie macho viashiria vya uvunjifu wa amani ktk nchi yetu.

mwambie sirro sisi ni watanzania tunaopenda amani na haki pia
 
mwambie sirro sisi ni watanzania tunaopenda amani na haki pia
Dai HAKI kwa njia za AMANI, huwezi kuvunja AMANI eti kwa Kisingizio cha kudai HAKI.
AMANI is Paramount.
AMANI ndio msingi wa HAKI.
ukivuruga AMANI huna mahali pa kwenda kudai haki.
 
IGP Siro ameyazungumza maneno hayo wakati akitoa heshima zake za mwisho kwa Mashujaa Askari 4 walio uwawa na Jambazi/Gaidi Hamza wakiwa kazini.

Jambo la msingi amesisitiza watanzania wote wapenda amani tuwafichue wahalifu wote ktk maeneo yetu.

Katika familia zetu kuna baadhi wanatabia za kijambazi tuwaripoti, ktk mitaa yetu kuna watu wana matendo ya kijambazi tuwafichue ili Jeshi la Polisi na vyombo vya usalama viweze kufuatilia nyendo zake.

Kamwe tusifumbie macho viashiria vya uvunjifu wa amani ktk nchi yetu.
Upuuzi mtupu.
 
Tungefaidika na kauli yake kama angetoa jibu kwanini Marehemu Hamza alilenga polisi tu huku akiwaambia raia waondoke?hapo kauli yake ingekapata uzito.
 
Tungefaidika na kauli yake kama angetoa jibu kwanini Marehemu Hamza alilenga polisi tu huku akiwaambia raia waondoke?hapo kauli yake ingekapata uzito.
hilo swali ni sawa na kumuuliza Mbowe kwa nini inadaiwa kuwa alidhamiria kulipua vituo vya mafuta na sehemu nyeti za Serikali?
Jibu atakuwa nalo Mbowe mwenyewe, vivyo hivyo Jibu alikuwa nalo Gaidi Hamza mwenyewe na walio mtuma kutekeleza mauaji.

tusikubali kutumiwa au kutumika vibaya, haswa na wanasiasa.
 
Kuna Mahali flani kulikuwa na kambi ya Hawa waislamu wenye itikadi Kali ilikuwa inawafundisha vijana technic za kivita Kwa zile bunduki bandia pamoja na phiscally attack
Basi nikamfikishia Askari mmoja hiyo taarifa jina lake ninalo
Hakulifanyia kazi jambo Hilo kabisa wakati ule ghafla likapigwa lile Kanisa la kule Olasti Arusha na Mgahawa mmoja kule Kanisa road uzunguni
Siku Moja nikakutana na yule Askari nikamkumbusha vipi zile taarifa ulizifanyia kazi?
Akaniambia acha umbea wewe ...Nikamuambia poa.
Baada ya hapo huyu Askari akawa hata hanisalimii tena
Siku Moja wakati naongea na Jamaa mmoja hivi ambae nae ni Answar yule Askari akapita wakasalimiana vizuri
Baadae huyu jamaa yangu ndio akaniambia kuwa wanasali msikiti mmoja na huyu Afande so nikaelewa kitu tayari
Kwa nini hukwenda kuripoti kituoni ili wachukuliwe hatua,tofauti na hivyo wewe ni mbea kama bwana poti alivyo kwambia.
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
 
Back
Top Bottom