Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Ni ujinga tu wa Watu kudhani kuwa Viungo vya watoto vyaweza kuwafanikishia mambo yao kumbe sio.
Alafu hawa ndiyo wanao ituhumu mikoa ya pwani kwa ushirikina. Wanajisifu kwa elimu, elimu yao sasa inawasaidia nini.
Wakati wao ndy ma masterAlafu hawa ndiyo wanao ituhumu mikoa ya pwani kwa ushirikina. Wanajisifu kwa elimu, elimu yao sasa inawasaidia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila matukio ya kutisha hutokea nje ya mikoa ya pwani, ila wanajifanya hawaoni.
Bwana mkubwa wakati huu sio wa kuanza kuzodoana Bali ni kutiana Moyo na kuombeana, maana Watoto wetu wanaouawa kwasababu ya ujinga wa Mijitu michache Hawana hatia, Watoto ni Malaika. Nashangaa jinsi unavyowazodoa WanaNjombe bila hata kuwabaini na Chembe ya Huruma kwa watoto wanaokufa.Alafu hawa ndiyo wanao ituhumu mikoa ya pwani kwa ushirikina. Wanajisifu kwa elimu, elimu yao sasa inawasaidia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu ni wakati wa kushauriana Kumaliza Tatizo na si wakati wa kutambiana.
Hawawezi kuacha waleMkuu huu ni wakati wa kushauriana Kumaliza Tatizo na si wakati wa kutambiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kibiti ipo Mkoa wa Singida, eti?, Na vipi Kuhusu ile mili ya watu waliokuwa wakipatikana kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi??. Au huko sio Pwani??!!!. Ni Hayo tu Mkuu, Ngoja niendelee kuomboleza.Kila matukio ya kutisha hutokea nje ya mikoa ya pwani, ila wanajifanya hawaoni.
Huwezi sikia ujinga huu mikoa ya pwani, ingawa uchawi upo sio wananna hii, unauwa Binadamu mwenzio, na nguvu zake Damu ingali ya moto, eti akupe utajirili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mauaji huko njombe yanasababishwa na ushirikina,watu huko kutwa kuwaza utajiri wa ndumbaHivi Kibiti ipo Mkoa wa Singida, eti?, Na vipi Kuhusu ile mili ya watu waliokuwa wakipatikana kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi??. Au huko sio Pwani??!!!. Ni Hayo tu Mkuu, Ngoja niendelee kuomboleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe Mkuu, sio hao wanaokazana kutusimanga Wana Njombe.Mauaji huko njombe yanasababishwa na ushirikina,watu huko kutwa kuwaza utajiri wa ndumba
Serikali labda ianzishe operesheni kwa waganga wote huko
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mauaji ya kibiti ukiaita ya kishirikina, basi kweli wewe utakuwa chaula, hapa tunaongelea ushirikina, huku mkijiita mmeendelea, na mna elimu, kuliko mikoa ya pwani, sisi wanyeji wa mikoa hii ya pwani, ambako ustaarabu ulikoanzia, tunawauliza Elimu yenu inawasaidiaje.Hivi Kibiti ipo Mkoa wa Singida, eti?, Na vipi Kuhusu ile mili ya watu waliokuwa wakipatikana kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi??. Au huko sio Pwani??!!!. Ni Hayo tu Mkuu, Ngoja niendelee kuomboleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mpaka nimeandika hapa, jua nimeguswa, lakini lazima tujue ubaguzi, ndiyo chanzo, cha kuondoa utu wa mtu mwingine, ubaguzi unamwondolea dhamani mwingine.Bwana mkubwa wakati huu sio wa kuanza kuzodoana Bali ni kutiana Moyo na kuombeana, maana Watoto wetu wanaouawa kwasababu ya ujinga wa Mijitu michache Hawana hatia, Watoto ni Malaika. Nashangaa jinsi unavyowazodoa WanaNjombe bila hata kuwabaini na Chembe ya Huruma kwa watoto wanaokufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini na Nani Alisema Njombe tumeendelea kuzidi Pwani?, Leta Ushahidi hapa.Ukiona mpaka nimeandika hapa, jua nimeguswa, lakini lazima tujue ubaguzi, ndiyo chanzo, cha kuondoa utu wa mtu mwingine, ubaguzi unamwondolea dhamani mwingine.
Tukae tujue wote ni Watanzania, na pale, mnapojiona mmeendelea, wakati sisi tunaona hamjaendelea kiasi, cha kumdharau mwingine, inabidi tukuonyeshe, kuwa hamjaendelea. Na ili kuweka ushahidi wa kuwa hamjaendelea, ndiyo maana tunakuonyesha kitendo kinachoendelea huko njombe, hakiweze fanywa na mtu aliesoma kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app