ZigiZaga
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 942
- 1,057
nyang,olo anajua wanaenda kuumbuka soon!! watu wana video nijambo LA muda tu!Tumefikia pabaya kwa kweli
nyang,olo anajua wanaenda kuumbuka soon!! watu wana video nijambo LA muda tu!Tumefikia pabaya kwa kweli
hana ubavu was kutuzuia huyu! anabwabwaja tu!!!!!! mambo yamewaelemea wanaangaika hukuna huku******Atajuta kuwa IGP kwenye hii serekali ya awamu ya tano
Nani adakwe, ajaribu aone!!!!! siro ni mgonjwa wa akili tanguWatu wengi sana watadakwa....
Una hakika gani unalolisemaWao si ndio walimpiga risasi
Hawawezi kuchunguza chochote
Pumbaffff zake kabisa huyo nyakororo au sijui nyakorokoro..Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro ametaka mjadala kuhusu kupigwa risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ufungwe mara moja.
Agizo hilo amelitoa leo akiwa ziarani jijini Mbeya wakati akizungumza na vikosi vya ulinzi na usalama ambapo amewaonya wanasiasa kuacha kuuendeleza na waliachie jeshi lifanye kazi yake.
Kuhusu madai yaliyotolewa hivi karibuni na familia ya mbunge huyo kuwa jeshi hilo halina dhamira ya dhati ya kufanya uchunguzi, IGP Sirro amesema hana cha kuwajibu kwa kuwa hataki malumbano na familia hiyo.
Chanzo: Azam Tv
Jamaa zeroTunapo elekea itafikia tutapigwa marufuku hata kutamka jina la LISU.
Neno LISU itakua ni tuhuma na itapelekea kushtakiwa kwa mujibu wa sheria
Na hii ni baada ya kusikia MANGE KIMAMBI anamwaga kila kitu hadharani.Mseminari Afande IGP Sirro awe wazi,anataka mjadala wa kuhusu uchunguzi wa watu wasiojulikana na hatimaye kupigwa risasi Tundu Lissu ufungwe??Au mjadala kuhusu afya,maendeleo na kauli za Tundu Lissu akiwa hospitali ndio ufungwe?
Kama alivyo kiongozi mwingine wa kuchaguliwa wa kisiasa,Hivyo ndivyo kwa TL,afya yake na maendeleo yake yanapaswa kufahamishwa kwa wapiga kura wake na wale wote wenye mapenzi mema ambao hawana uwezo wa kufika Nairobi na wangepende kujua hali ya afya yake.
Wengi tumemchangia TL kwa hiyari,hatupo nyumbani wala Nairobi,lakini tungependa kujua afya ya TL inaendeleaje?IGP anazuia kujadiliwa kwa afya ya TL kama nani?Kwanini sasa wakati zimepita siku 30 bila watesi wake kukamatwa?
Sasa tunaukaribia ukweli,wamejua tunakoenda ni kuwajua waliomtesa TL na kutaka kuidhulumu nafsi yake.Tunakaribia kuwajua kwa majina na sura,ni watu wa heshima,ni watu tuliowaamini watulinde sisi,ni watu tuliowapa dhamana ya kulinda mali na uhai wetu,hawa ndio watesi wetu.
Wanaanza kuumbuka,wanaanza kuweweseka,tutawajua na nafsi zao zinajutia na kuhangaika.Tutaendelea kujadili hadi pale tutakaapowajua wote kama tulivyowajua waliomtesa Nappe kuwa ni walinzi wa RC Makonda
Kujadili kunawazuiaje kupata watu wao kwa mfano yaani?IGP anajua kwamba katiba ya nchi inawapa watu uburu wa kupashana habari na kutaka mjadala ufungwe sio tu kunavunja katiba, bali pia hakuisaidii polisi kuweza kupata habari fulani mpya?