Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,005
- 9,872
"Askari mmoja analinda watu 2,000 jambo ambalo haliwezekani, kimataifa askari mmoja anapaswa kulinda watu 450, ili kutatua hilo ni vema tukawa na ulinzi shirikishi na asiyetaka kulinda alipishwe faini kama Dar es salaam wanavyo fanya"IGP Siro
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Siro Juni 30.2021amefanya mkutano wa tathimini ya pamoja na viongozi wa ngazi ya kata wakiwemo, Wenyeviti wa vijiji, Mtaa, Madiwani, Watedaji wa kata na vijiji Mkoani Kilimanjaro kuhusu hali ya usalama na umuhimu wa viongozi hao kwenye jamii