Polisi wengi hawana common sense kwa sababu raia wengi hawajui haki zao. Pia kuna kulindana hata kama polisi kakosea. Kuna siku mi polisi alinikuta sina fire ext. kwenye gari bahati mbaya siku hiyo kidude cha kuonesha expiry kilifyatuka, nikamueleza nitanunua nikifika mwisho wa safari ila aliniambia anaenda kuniweka ndani, bahati nzuri akatoea afande ninafahamiana naye akamuuliza then baadaye akaambiwa aniache, so polisi wengi common sense ni rushwa rushwaHulka ya kupenda kuomba na kupokea rushwa ni tabia binafsi ya mtu na sio msimamo wa jeshi la Polisi kama taasisi.
NB: Mimi sio mtumishi wa JWTZ bali ni raia mwema wa kawaida tu.
Kauli hizi za kimfumo ni kauli za vijana wa chadema na wewe ni mwanachama wa chadema.Matatizo ya Rushwa ni ya kimfumo
Jeshi linahitaji kufanyiwa overhaul
Kauli hizi za kimfumo ni kauli za vijana wa chadema na wewe ni mwanachama wa chadema.
Hiyo overhoel itayofanyika kwa kuwaajili polosi malaika?
Overhoel vs Polosi.Kauli hizi za kimfumo ni kauli za vijana wa chadema na wewe ni mwanachama wa chadema.
Hiyo overhoel itayofanyika kwa kuwaajili polosi malaika?
Jeshi la polisi linalaza watu ndani kwa tamaa za kijinga sana.Suala la Rushwa limeshashindikana mkuu.
Kumbuka hii kitu 'If u can't beat them,join them',Itakusaidia sana na maisha yako yatakua laiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiini kama unanawa vile.
Yaani Dhamana hadi RUSHWA itoke yaani hawa jamaa ni hatari sana kwa afya ya jamii.Hulka ya kupenda kuomba na kupokea rushwa ni tabia binafsi ya mtu na sio msimamo wa jeshi la Polisi kama taasisi.
NB: Mimi sio mtumishi wa JWTZ bali ni raia mwema wa kawaida tu.