IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

Mbona tumewahi kuwa na maraisi wenye asili ya burundi na hata waziri wa mbumba ni banyamulenge
 
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.
Hapo ofsini si kwa makachero wa usalama?
 
Kuweni makini na Wanyarwanda hasa linapokuja swala la wilaya za Karagwe, Biharamulo, Ngara, Kyerwa na Misenyi. Wilaya hizi zimeoa wanyarwanda wengi mpaka sasa wengine hawajui mababu zao. Hata majina yao yanafanana na ya Rwanda, mfano ni huyu mbunge Bilakwate. Mbona hatuongelei Watanzania wa Minziro wanaoongea Kiganda hadi Kiswahili hawajui na wanatumia fedha ya Uganda ndani ya nchi ya Tanzania?

Kama tutaingiza mambo ya Unyarwanda basi twende Longido pia tuchambue wamasai wa Kenya na Tanzania, Twende Mara tuchambue Wajaluo wa Kenya na Tanzania; Twende kusini tuchambue Wanyasa, Wamakua, Wangoni n.k.
 
Jana kunwaziri wa wizara nyeti mwanamke babu na bibi yao ni bahima kutoka Rwanda walikimbilia Tz kabla ya uhuru..Simlaumu Samia kwani tauari qlipata nafasi kubwa TANGIA ENZI ZA KIKWETE
 
Jana kunwaziri wa wizara nyeti mwanamke babu na bibi yao ni bahima kutoka Rwanda walikimbilia Tz kabla ya uhuru..Simlaumu Samia kwani tauari qlipata nafasi kubwa TANGIA ENZI ZA KIKWETE
Mzee unaenda mbali sana. Tz wazawa wa bibi na babu watabaki wasukuma tu. wengine wote tumetoka kwa majirani
 
Kuweni makini na Wanyarwanda hasa linapokuja swala la wilaya za Karagwe, Biharamulo, Ngara, Kyerwa na Misenyi. Wilaya hizi zimeoa wanyarwanda wengi mpaka sasa wengine hawajui mababu zao. Hata majina yao yanafanana na ya Rwanda, mfano ni huyu mbunge Bilakwate. Mbona hatuongelei Watanzania wa Minziro wanaoongea Kiganda hadi Kiswahili hawajui na wanatumia fedha ya Uganda ndani ya nchi ya Tanzania?

Kama tutaingiza mambo ya Unyarwanda basi twende Longido pia tuchambue wamasai wa Kenya na Tanzania, Twende Mara tuchambue Wajaluo wa Kenya na Tanzania; Twende kusini tuchambue Wanyasa, Wamakua, Wangoni n.k.
Sahihi kabisa.
 
Walivyo na uswahiba wa kijinga na Rwanda watanyamaza, ila hata hivyo IGP utamwonea waambie wale wala rushwa wa Uhamiaji.
 
Naomba picha yake basi,,Mimi mwenyewe ni Tiss wa ukwel namba yake ya kazi pia na majina yake kamili
 
Back
Top Bottom