Wanabodi wote,
Nimefurahishwa na hatua ya
Baina ya kumtaja mmoja wa wanyarwanda huko Kagera. Bila kujali ukweli au uongo wa tuhuma hizi kwa muhusika, lakini ni mwanzo mzuri wa kuanza kuwatambua wanyarwanda waliopo kwenye taasisi zetu. Kama tulivyofanya kwa madawa ya kulevya, basi na hapa tuwataje watu wote tunaohisi kwamba ni wanyarwanda ndani ya taasisi zetu ili kuisadia serikali kushughulika nao. Hawa ni watu tunaishi nao kabisa. Tufanye hivyo kwa usalama wa nchi yetu.
[h=2]
baina[/h][h=2]Igp & rpc kagera ondoa pandikizi huyu.[/h]
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.
TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/507319-igp-and-rpc-kagera-ondoa-pandikizi-huyu.html