IGP Mwema tusaidie, update ya intelligencia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IGP Mwema tusaidie, update ya intelligencia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mams, Jan 11, 2011.

 1. m

  mams JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 615
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli ndugu yetu IGP Mwema, ulitusaidia sana juu ya kupata habari za kiinteligencia ambapo kwa kuruhusu maandamano hali ingekuwa mbaya zaidi kuliko umwagaji damu uliotokea hapa Arusha. Kwa kutumia hiyo hiyo intelligencia, je kuna usalama mama huyo Marry Chatanda kuendelea kuwepo hapo Arusha.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Ndugu yangu,
  Mwache tu huyo kibabu!
  Atapata wapi taarifa za kiintelijensia?..labda azinunue marikiti!
  Hakuna intelijensia yoyote, hilo ni neno ambalo kwa sasa linatumia kuombea mapenzi kwa wasichana!...ha ha haaa!
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  mARRY CHATANDA NI MLUPO AU DEMU?
   
 4. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ahhh kaka kweli ni mlupo? ila kuna jamaa alishakula anasema siyo mchoyo kabisa kwenye mambo fulani. kidogo siku hizi mpaka umvizie kwenye angle ndo anakupa especially akiwa kwenye meeting ambayo inampasa alale hotel kule ni kama unamsukuma mlevi yaani anakuanza yeye. kuna ukweli hapo?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Mi toka juzi nimekuwa natafuta hata picha ya huyu mama niijue sura yake anafananane...can anyone do ze needful?
  Nilisema huenda ana pembe kichwani kwake, and she could be from an alien planet too!
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Labda kwa sasa bado yuko bize hebu kamuombe binti yake yuko pale PPF House barabara ya samora na Morogoro roadi atakusaidi utabiri wa hali ya hewa kule Unga Limitedi Arusha ukoje.
   
 7. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,837
  Likes Received: 812
  Trophy Points: 280
  Unataka atimuliwe kazi? intelijensia kwenye kivuno cha wakuu wake. Thubutu
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Mambo yashazimwa kiutu'uzima.
   
 9. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,233
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tunaomba picha yake ili tumjue aliyesababisha maisha ya watu kupotea.
   
Loading...