Ndio maana mnapigwa chini kwenye teuzi maana hapa uneandika uharo ambao ni ushahidi tosha kuwa vijana wa lumumba hawana akili kabisa.Yeye alitakiwa apeleke polisi kuweka usalama kama anaona kusingekuwepo na usalama.
Wewe umeandika kuwa mikutano ya upinzani haina staha.Ila mikutanonya fisiem ina staha?Jitahidi tu kurudisha akili yako mkuu.Unataka staha gani wewe?Hivi yale alosema James wa Uvfisiem kwenye mkutano wa hadhara ndo staha unayotaka?Ndo maana najaribu kusema vijana wa Lumumba akili hamna na zaidi haya yote mnajitakia wenyewe.Hebu rudia taratiib kusoma andiko lako ulinganishe na nilichoandika useme aliyeandika uharo ni nani kati yangu na weye.
Damu haiwezi kumwagika.Habari za jioni? Poleni na mihangaiko ya kazi.
Hivi mbona mkuu wa jeshi la polisi anashushiwa heshima kiasi hiki?
Leo tumesikia hukoTarime, mkuu wa mkoa akisema polisi wakimruhusu Zitto ahutubie, basi atafukuza kazi wote waliokuwa huko.
Hivi mamlaka ya kipolisi siku hizi inaendeshwa kwa matamko?
Hii hali isipokemewa, tutakuja pata matatizo mbeleni.
Maana alianza Kangi kumpa maagizo as if ni mtoto wake, leo huko tarime mtu anajifanya Mungu mtu, hii katiba iliyopo sijui imekuwaje mpaka sasa haijarrkebishwa.
Na kwa style hii 2020 naona damu ikimwagika katika nchi hii, maana udiwani tu watu wanatishwa hivi, je urais itakuwaje?
Wewe umeandika kuwa mikutano ya upinzani haina staha.Ila mikutanonya fisiem ina staha?Jitahidi tu kurudisha akili yako mkuu.Unataka staha gani wewe?Hivi yale alosema James wa Uvfisiem kwenye mkutano wa hadhara ndo staha unayotaka?Ndo maana najaribu kusema vijana wa Lumumba akili hamna na zaidi haya yote mnajitakia wenyewe.
Sasa wewe hiyo kauli tu ushalainika.Hivi ninyi Lumumba mna matatizo gani?Dah!Eti tumpe ushirikiano kwani hapewi ushirikiano?Huu wa Tarime ni uchaguzi mkuu.Sera zilitakiwa zinadiwe wananchi wachague sera zilizo bora kutoka chama chochote.Au unataka CDM wasisimamishe mgombea ndo ujue kuwa Jiwe anapewa ushirijiano?Tulia tu hata siku moja baba hakosei. Sasa hivi CCM ndo baba mpe ushirikiano 5 yrs uone anafanya nini. Umeisikia kauli ya baba askofu?? " Nilikuja na moyo ulioinama sana moyo umekunjuka..." In his immaculate voice. Dr Shoo. Upo?? Tulia utaijua nia yake njema tu.
Atawafukuza?
Kwani mwajiri wa polisi ni RC ?
Hi ni awamu ya vichekesho sana.
Sasa wewe hiyo kauli tu ushalainika.Hivi ninyi Lumumba mna matatizo gani?Dah!Eti tumpe ushirikiano kwani hapewi ushirikiano?Huu wa Tarime ni uchaguzi mkuu.Sera zilitakiwa zinadiwe wananchi wachague sera zilizo bora kutoka chama chochote.Au unataka CDM wasisimamishe mgombea ndo ujue kuwa Jiwe anapewa ushirijiano?
Mkuu sasa ndo umedhihirisha kuwa wewe ni zero brain.Inaelekea hata huelewi maada kuu inahusu nini yaani. Maana huu ni muda wa kampeni sasa unataka nini zaid kama sio wagombea kunadi sera zao?kama hujaelewa nenda kaanze upya kupitia uzi huu labda ndo utaelewa nini ni nini!Mgombea aliyepita alikuwa chama cha kilaghai akapata ufahamu akajiuzulu. Unataka tukirudishe chama lkaghai?? Pole, ili waje kununuliwa tena??
Magufuli kaanzisha ujinga huu, sasa kila mjinga mwenzake anamgeza.Habari za jioni? Poleni na mihangaiko ya kazi.
Hivi mbona mkuu wa jeshi la polisi anashushiwa heshima kiasi hiki?
Leo tumesikia hukoTarime, mkuu wa mkoa akisema polisi wakimruhusu Zitto ahutubie, basi atafukuza kazi wote waliokuwa huko.
Hivi mamlaka ya kipolisi siku hizi inaendeshwa kwa matamko?
Hii hali isipokemewa, tutakuja pata matatizo mbeleni.
Maana alianza Kangi kumpa maagizo as if ni mtoto wake, leo huko tarime mtu anajifanya Mungu mtu, hii katiba iliyopo sijui imekuwaje mpaka sasa haijarrkebishwa.
Na kwa style hii 2020 naona damu ikimwagika katika nchi hii, maana udiwani tu watu wanatishwa hivi, je urais itakuwaje?
Yaani jingalao huna thamani chamani,, unazidiwa mpaka na akina Jokeri wamelamba dume wewe upo upo tu unapiga vigelegele? Wacha Umazwazwa wewe amka dada!!ulitaka apokee amri kutoka kwa zitto
Mkuu sasa ndo umedhihirisha kuwa wewe ni zero brain.Inaelekea hata huelewi maada kuu inahusu nini yaani. Maana huu ni muda wa kampeni sasa unataka nini zaid kama sio wagombea kunadi sera zao?kama hujaelewa nenda kaanze upya kupitia uzi huu labda ndo utaelewa nini ni nini!
Sio kwamba huna muda bali huna hoja wewe.[emoji23][emoji23]Sina mda
Ni kweli kabisa kuna tatizo kubwa sana MTU mwenye ajira ya umma tena ya kitaalam na ya muda mrefu au ya kudumu wanavyoiita kuendeshwa na mtu mwenye ajira isiyo na muda maalum tena inayotegemea matakwa ya mtu mmoja.Kwanini hawa wanasiasa wawe na dharau kiasi hicho kwa jeshi letu la Polisi? Hivi Polisi ni watu wa kuwadunisha kiasi hicho kwamba atawafukuza kazi kizembe namna hiyo? Huyo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapata wapi mamlaka ya kufukuza?
Polisi wanataka wafanya kazi zao kwa weledi lakini wanasiasa wanataka wafanye kazi zao kwa kufuata maelekezo yao, hizi ni dharau za wazi sasa.
Inasikitisha sana na wakati mwingine inatia hasira kali kichwaniNi kweli kabisa kuna tatizo kubwa sana MTU mwenye ajira ya umma tena ya kitaalam na ya muda mrefu au ya kudumu wanavyoiita kuendeshwa na mtu mwenye ajira isiyo na muda maalum tena inayotegemea matakwa ya mtu mmoja.
Kazi za kijeshi sio kazi za kisiasa wala za uteuzi.
Ni kazi za kitaalam na zinafuata misingi ya sheria na taratibu zake.
Kwa yanayoendelea 2020 sijui itakuwajeHayo yote yanayofanywa na vyombo vya Dola yalishaonywa kwenye Waraka wa viongozi wa Dini.Hivyo kwa haya yanayoendelea ni viashiria tosha kuwa taifa linahama kwenye mfumo wa kidemokrasia na linaelekea kwenye mfumo wa kupeana madaraka kwa njia zisizo na uhalali wa kikatiba.
Usalama upi? Rejea msukuma anavyotukana wapinzani live kwenye mikutano, juzi juzi kheri james kaongea maneno ya ovyo kabisa, yule mnyeti je?Ndio maana mnapigwa chini kwenye teuzi maana hapa uneandika uharo ambao ni ushahidi tosha kuwa vijana wa lumumba hawana akili kabisa.Yeye alitakiwa apeleke polisi kuweka usalama kama anaona kusingekuwepo na usalama.