IGP Mangu: Muda wowote tutamkamata Maalim Seif kwa uchochezi, anayetaka ya Lugumi akaliulize Bunge

DIALLO

Member
Dec 20, 2011
63
13
#USALAMA ZANZIBAR: IGP Mangu asema vitendo vya uhalifu Z’bar ni matokeo ya Maalim Seif Sharif wa CUF kupandikiza chuki kwa wafuasi wake dhidi ya serikali na CCM.

 
Mangu:Sehemu kubwa ya polisi ni kufanya kazi kwa kujitolea, kwa sasa tuna mpango wa polisi jamii ili tupate ushirikishwaji mkubwa.
 
Tiddo: mbona matatizo yanaendelea kutokea kwa kasi kubwa kinyume na mpango wenu wa kuyapunguza.
 
Mangu: Hata tufanyeje hatuwezi kuyaondoa matatizo yote ya kiuhalifu.....lakini jitihada zinaendelea kufanyika kuyaondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…