IGP Mangu: Muda wowote tutamkamata Maalim Seif kwa uchochezi, anayetaka ya Lugumi akaliulize Bunge

Hivi ni kweli Mangu hakumuona Jecha kama ndo mchochezi wa kwanza kwa kuwawekea raia uongozi walioukataa?Hivi ni kutudharau watanzania na kutuona hatuna tulijualo?Ni mtanzania yupi kipofu atakayeamini eti Maalimu Seif ndo mchochezi?Hivi mtu kudai haki yako ndo uchochezi?
nchi ya twisted justice hii -aliye na haki ndio mhalifu. Mhalifu anatukuzwa na kupewa nafasi kwenye jukwaa la rais na watu mashuhuri.
 
Wee Mangu wee hilo tendo lako la kumkamata MAALIM utalijutia maishani mwako pamoja na wenzako shenzi mkubwa . Humkamati seif ila unaikamata mioyo ya watu na tutahujumu chochote tunachokitataka chenye kuumiza. Nakupa indhari.
Alikuwa hana kazi ya kufanya huyu IGP jana Magufuli kampa kazi ya kufanya, wamkamate aliyetapeli billioni 20 za uniform za Polisi.

Hii nchi imejaa wanafki sana.
 
Nahoji ulazima wa CUF kushiriki jambo linalowahusu CCM au mtu yeyote kushiriki la mwingine na hasa mmoja napoona hatendewi haki,pia kwanini aliyesababisha kiini cha mgogoro huu yupo na hajawahi hata kuhojiwa badala yake ashtakiwe muathirika?

Maalim at the verge of imminent arrest and prosecution ? Strange uh? Countdown begins now!

Hivi ni kweli Mangu hakumuona Jecha kama ndo mchochezi wa kwanza kwa kuwawekea raia uongozi walioukataa?Hivi ni kutudharau watanzania na kutuona hatuna tulijualo?Ni mtanzania yupi kipofu atakayeamini eti Maalimu Seif ndo mchochezi?Hivi mtu kudai haki yako ndo uchochezi?

Mhalifu mkuu ni mtu aliyefuta uchaguzi na bwana zake waliomtuma

Hakika mkuu maana maeneo ambayo ccm wameng'ang'ania kila kitu kipo ovyo kabisa.

Hivi mtu kama huyu ndo ingekuwa dunia inamfatilia wakati akihojiwa na majibu yake yakawa haya si watanzania wote tutadharauliwa kna dunia kwa majibu ya Mangu.

nchi ya twisted justice hii -aliye na haki ndio mhalifu. Mhalifu anatukuzwa na kupewa nafasi kwenye jukwaa la rais na watu mashuhuri.
Jana Magufuli ametoboa siri ni kwa nini Polisi wanasakama wapinzani, sababu ni kwamba majizi makubwa ya nchi hii yako ndani ya jeshi la Polisi, kukamatana hayakamatani badala yake wanatafuta matukio ya kutengeneza ili kubadili attention ya wananchi.

Tena naandika bila woga wala hofu nikimnukuu mtukufu Rais.
 
Ningeshauri jeshi la polisi lisiwe sehemu ya ushabiki wa kisiasa,wenzao JWTZ wanaendelea kuheshimika kwa sababu ya misimamo yao.Ukweli kuhusu Zanzibar unajulikana na kama ni suala la uchochezi wangeanza na wale waliokuwa wanasema Zanzibar haitoki kwa sanduku la kura,Jecha na waropokaji wengine
 
Hivi ni kweli Mangu hakumuona Jecha kama ndo mchochezi wa kwanza kwa kuwawekea raia uongozi walioukataa?Hivi ni kutudharau watanzania na kutuona hatuna tulijualo?Ni mtanzania yupi kipofu atakayeamini eti Maalimu Seif ndo mchochezi?Hivi mtu kudai haki yako ndo uchochezi?
Huenda "kudai haki"ndiyo KOSA la kiufundi,kwakuwa wanasema"the rights are taken,they are not given"(haki huchukuliwa,haiombwi)na huenda wapora haki hawajui madhara ya kuchukua,wamejiaminisha kuwa watu wamepoa tu tangu uhuru mpaka mwisho wa dunia.
 
Hivi mtu kama huyu ndo ingekuwa dunia inamfatilia wakati akihojiwa na majibu yake yakawa haya si watanzania wote tutadharauliwa kna dunia kwa majibu ya Mangu.
Huyu sijui aliyemteua alikuwa na nia gani. Hajui kujieleza hata kidogo. Issue ya polisi kuiba mabilioni ya pesa kwa ajili ya sare wala halimsumbui na hata la malipo hewa ya mishahara na lugumi kashindwa kuyatolea maelezo. Ningekuwa mimi jana nigewasilisha barua ya kujiuzulu kwa mamlaka za uteuzi. Hana msaada wowote zaidi ya kulea wezi na mafisadi.
 
Hv jamani,tunaenda wapi na haya matamko. IGP anafanya uchochezi yeye mwenyewe bila kujua.
Hv hakuna PR wa polisi?
Kingine,kwnai hamjui maalim alipo kwenda kumkamata?
Pili,mlishaongea nae na kujadiliana kuwa ana hatarisha usalama wa raia?
Uccm ndio unaua maendeleo ya nchi hii. Siku CcM inaondoka madarakani nchi hii itaendlea sana.
 
Hawa Polisi wangekuwa wanasimamia sheria wangewashikilia Waliovuruga Uchaguzi Uliokwisha Kukamilika. Sikio la Kufa halisikii dawa. Mkamateni Seif Iwe Ndiyo Mwisho wa CCM, Mnafikiri wananchi wanaogopa hao polisi wawili watatu? Ipo siku CCM mtakuja Kupiga magoti Kuwaomba akina Seif na Akina Mbowe wawaombe Wananchi watulie, na Itakuwa out of their hands.

Tanzania Hakuna Polisi, wa Kutosha Kukandamiza Raia, CCM Msimchezee Mungu, Ni Huruma ya Mungu tu Inawafanya Wananchi wavumilie Upumbavu na Udictator wenu wa Kijinga. Acheni Mtaharibu amani ya nchi yetu. Maalimu Seif Asingelalamika Kama Hamkupora Ushindi wake Jambo ambalo Watanzania na Dunia Yote Imeona. Uonevu Una Mwisho CCM Mtakuja Juta, Badilikeni. Dunia hii Upuuzi wenu sio siri tena na Hauvumiliki.

Kumshitaki Seif Pia Kutasaidia Kuweka mambo wazi Kuwa Ni akina nani waliagiza Kufuta Uchaguzi. Na hatari iliyopo Iwapo Fujo mbaya Zikitokea Dunia haitamweka Seif hatiani Bali wahusika wa Kiini cha Tatizo. Wasichoelewa Tanzania Ni kuwa sasa Jumuia ya Kimataifa Imechoshwa na Madictator, Upepo utabadilika na CCM watajuta!

Ni Unafiki, Ni Ushetani, Ni jambo Ni Kioja cha Ajabu, Jambazi Linavunja Nyumba ya Mtu Likamwibia mali zake, Likabaka na Wanae, halafu Mhanga huyu akilalamika Jambazi hili Bila ya aibu Linamwita Mtu huyu Kuwa Ni Mhalifu kwa Kelele zake. CCM na Polisi wao ndicho wanachofanya, Wanachezea akili za Watanzania kama sisi ni Masokwe vile, what a Shame!
Hizo ndoto kuwa wananchi ni wengi kuliko polisi unazitoa wapi? Ungesema raia wema ni wengi kuliko raia wabaya tungeelewa. Chadema kupigania maiti Mwanza kwa kutumia viongozi kutoka Moshi na Arusha wananchi wa Mwanza hawaoni? Ukianza fujo wananchi watakuzuia wala polisi hawatahitajika. Juzi waligoma kuwa bungeni eti shauri ya N/spika unafikiri raia wema hawaoni. Jaribu kumfukuza Spika bungeni eti mko wengi kuliko polisi uone raua wa Dodoma watakuzuia.
 
CCM inahubiri amani wakati Maalim Seif anapandikiza chuki. Serikali imekiri kuwa kuna vitendo vya uvunjaji wa sheria mara dufu baada ya Maalim Seif kupandikiza chuki. Ina maana maamrisho ya Maalim yanasikilizwa na wananchi zaidi ya maamrisho ya aliyeshinda kwa 91% katika uchaguzi wa marejeo?
 
Hakika mkuu maana maeneo ambayo ccm wameng'ang'ania kila kitu kipo ovyo kabisa.
Dodoma ni ngome ya CCM na kule wanapatikana wasichana wa kazi kwa wingi, amini nakwambia wasichana wale ni wakubwa na hawajui kusoma wala kuandika.

Nadhani hapo umepata picha wanachama walio wengi wa chama hiki ni watu wa aina gani.

Katika shule walizopora (za jumuia ya wazazi) barua zote zinaandikwa kwa kiswahili maana darasa la saba wamepeana vitengo kwa itikadi za uchama.
 
Back
Top Bottom