IGP Chonde chonde ujinga huu usitokee Mbeya!!

sio kila anaekuja humu ametumwa, na sio wote humu tunatumika kisiasa. Haya ni maoni binafsi na kama tutakubaliana kwa kila jambo linalo letwa humu jf basi hakutakuwa na sababu ya kuja humu.

unajua kuna vitu viko wazi kabisa hata kwa mtoto wa drasa la 3 picha zimeonyesha uhalisia . Na hata mahojiano kati ya waandishi na marpc utaona ni jinsi gani walivyokuwa wanajijanyaga kuhusu hili la mwangosi
any way michango yako mingi nimeisoma ni ya kutetea hawa wakandamizaji wa demokrasia
 
Mkuu kwa mtindo huu wa Polisi hata Mwenyekiti wa CCM sidhani kama anapata starehe moyoni kwa yanayotokea!

Mkuu ungefanya la maana sana kama ungemshauri Mwenyekiti wako ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu awawajibishe IGP na Waziri wake. Kwa hatua tuliyofikia sasa hatuhitaji tena kuombana kuchukua tahadhari bali ni kuchunguza waliohusika na kuwafikisha mahakamani na kisha IGP, RPC muhusika na Waziri wote wapigwe chini!
 
Majebere kala ban! Huyu mchumia tumbo. Akirudi labda akili itakuwa imekaa sawa.
 
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

sasa nimegundua kitu, kumbe majebere ni rpc wewe!kwa kutumia hii statement yako.
 
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

Unafikiria kwa kutumia masaburi,nchi ya baba yako hii mpaka useme uwachagulie sehemu ya maandamano,kwanza huwa wanaharibu mali za watu au anythin,na mikutano na maandamano hivi umewahi kuona wanafanya bila vibali,si huwa wanapewa then wanakuja kufanyiwa fujo??think before u talk if you have nothin to say then shut ur mouth.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Chuki zote za JK ni Mwandosya na jamaaa zake, Ngoja CDM wafike huko mbeya, Policcm wataua mamia ya watu

we unaijua mbeya unaisikia.?mbeya zktokea vurugu lazma polisi afe,na pia wananchi hawaachi mpaka waamue wao na sio mabomu ya machozi..
 
We jifariji na hayo maneno lakini utatulia tu, hii ndio bongo, Slaa alikataa kumtambua JK kama Rais,Slaa alisema hana imani na polisi na hawezi kukaa nao, Slaa alisema liwale na liwe mikutano itaendelea.
Leo yuko wapi? Amekula matapishi yake na amefyata mkia.

Sasa jiulize kama alie watuma amerudi rivasi je nyie mnaotumwa si mtakimbia kabisa?

kama gunzi la kuchambia mavi vile .watu wengine bana ahh kama wanawashwa hivi
 
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

majebere ninawasiwasi na ufahamu wako ,binadamu wote ni vifaa kisaikorojia ,lakin i wewe umepitiliza kidogo kwani waweza kushangilia hata wakati kuku wanapigana ww unafurahia ,mtu wanamna ni mgonjwa.sheria ya nchi haimpi polisi kutoa ruhusu kufanyika kwa mikutano ya siasa bali ni kulinda kibali kinatolewa na nec tu .ww unaelewa lakini washangilia kifo cha mwenzio
 
wakumbusheni historia huko Mbeya kwa nini Mwaikambo afe siku moja kabla hajatangaza kujiunga na chadema misterious death ajali ya gari alfajiri
Prof Mwaikusa-eti kamuona Daudi BOT morgue killed at his house
Mwandosya -Poisoned
Mwakyembe- Poisoned
Ulimboka -Abused,emotionally mentally sexually and phyisically
Daudi Mwangosi-killed in hand of police
Where is Mwangosis camera
 
Masopakyindi kama umejitambua ondoka huko uliko , Serikali ya CCM h ni kampuni ya mauaji na kama ulivyosema jana kwenye thread yako ya jana wanyakyusa ndio asusa ya Kikwete ana hasira nao na unaambiwa yeye visasi ni dira yeyote mwenye jina la mwa na mtoka Tukuyu ,mbeya lazima afe au atiwe kilema cha maisha ,
Nilijiunga CCM kwa miiko na itikadi yake ni si kwa sura ya mtu.
Mambo yanayoonekana sasa yatampa wasi wasi mwanachamama yeyote wa CCM.
Namwelewa Mwalimu sasa aliposema "CCM siyo mama yangu".
 
Nilijiunga CCM kwa miiko na itikadi yake ni si kwa sura ya mtu.
Mambo yanayoonekana sasa yatampa wasi wasi mwanachamama yeyote wa CCM.
Namwelewa Mwalimu sasa aliposema "CCM siyo mama yangu".
saa ya ukombozi ni sasa usingoje kugeuka jiwe CCM si ile ya zamani wengi walitokea huko lakini namna ilivyojidhihirisha kuwa ni ukandamizaji uuaji wizi uonevu ufujaji mali za umma una haki ya kusema CCM si mama yako
 
Kinachoniuma siku zote ni hiki;
CDM wanajua fika jinsi wanavyokubalika nchi nzima,wanasubiri nini kuongoza mageuzi kabla ya 2015? au wanataka tufe wote? watampata nani wa kumuongoza 2015? CDM mbona mnatunyima nafasi ya kufanya mabadiliko?
Naumia sana, akina Slaa mnakokota mpaka wapi? CCM wameshaelekea kibra, mnasubiri nini jamani? mbona mnatukera hivyo? ma-ccm yenyewe yanashikiana bastola kwenye uchaguzi wao,ukiyachelewesha haya hadi 2015 yatatusumbua.
Dr. na wenzio mmenisikia?fanyeni haraka tuingie barabarani. Polisi wenyewe tunaishi nao mtaani, wakituzuia tunawaua wote!
 
Sio kila anaekuja humu ametumwa, na sio wote humu tunatumika kisiasa. Haya ni maoni binafsi
na kama tutakubaliana kwa kila jambo linalo letwa humu JF basi hakutakuwa na sababu ya kuja humu.

Na je kama tutapinga kila kitu kinacholetwa jf hata kilicho dhahiri je kuna haja gani ya kuja hapa??? TAFAKARI NA CHUKUA HATUA
 
Unawaona madevil au unataka kutuambia nini ukweli ni kwamba Tangu Mwandosya alipokataa mpango wa wizi wa kampuni ya IPTL walipokuwa wizara ya nishati pamoja miaka hiyo basi Kikwete yeye na wanyakyusa paka na panya analipiza kisasi na amri yake ni eliminate him

hapana, wote waliokumbwa na madhila haya ya serikali wanatokea Mbeya na uzi huu unahusu Mbeya
usinielewe vibaya mkuu
 
JK na Mwema wanatakiwa kushitakiwa The Hague !hakika,wameua sana raia wasio na hatia!
 
Hivi watu wanapo andamana kwa amani alafu kuna kosa gani? Hawagusi cha mtu,wanaelekea kufungua matawi yao,na kuhudhuria mikutano yao kuna ubawaya gani? Mimi naona police ndio wachokozi hapo.
 
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

Umenena vyema mkuu, hakuna aliye juu ya sheria.
Sote raia na polisi tunapaswa kufuata sheria na kila kitu kitakwenda sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom