Wamunzengo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 810
- 321
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.
Kwa hiyo hiyo sheria ya kumfuata RPC wewe umeitoa wapi?? wewe ZUZU kwelikweli. Kwa hiyo rpc wewe ndo umemuona mtu wa muhimu mno kuruhusu au kutokuruhusu mikutano na maandamano??
hivi nyie ccm mbona mnaonekana hata uwezo wa kufikiria umefika ukomo?? ndo maana nchi inawashinda sasa, kila mkikurupuka mnakuja na idea za ajabuajabu tu kama hilo wazo lako. IF YOU HAVE DONE EVERYTHING IN YOUR POWER AND FAILED, WHY CAN'T YOU RESIGN???? huu ndo ushauri katika mfumo wa swali aliopewa mchovu wenu Pinda mzee wa kujilizaliza utadhani kibinti kigeni mjini kilichopotea njia mtaa wa Kongo Kariakoo. Alipewa ushauri huu na Jembe la ukweli Mh. Tundu Antiphas Mughwayi Lissu.
Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAJAMBAZI/MAFISADI/WAUAJI.