IGP apata kigugumizi mkutano wa CCM

IGP apata kigugumizi mkutano wa CCM

Kauli kama "naweza kuwa rais wa malaika huko mbinguni" ni kauli za mtu anayeamini hakuna zaidi yake ,in fact hizo huwa miongoni mwa kauli za madikteta wengi duniani.
Watu wa aina hiyo ukiwaangalia vizuri na kuwachunguza huwa wanakuwa kama ambao zimefyatuka kidogo kichwani au kama vile uwelewa wao ni mdogo sana hivyo wanatumia nguvu ili kuzima udhaifu wao. Wachunguze utawaona na kuwasikia kauli zao.
 
Udikteta uchwara as usual.

Kwa kigugumizi cha IGP huo mkutano utafanyika na utalindwa kwa maduduwasha.

SHAME Tanzania.
 
Maafa kweli yatatokea maana polisi hawawezi vumilia uvamizi wa bavicha kwenye mkutano usiowahusu.

Mlishapewa ushauri na nyinyi andaeni mkutano wa ndani sikuhiyo na muufanyie mkoa au wilaya nyingne, mwaweza kwenda, nzega, igunga, rombo, temeke ubungo, manyoni, au mbeya au kwingene popote lkn si dodoma, vingevyo mtajutia maamuzi yenu.
Watajutia? Majuto yako pande zote kama vifo vitatokea. Ubishi wa kudhani nguvu iliwahi kuleta ushindi ni kujidanganya
 
Uasi unaweza fanikiwa nchi nyingine lkn si hapa, kama unabisha uzia iadia yako hiyo watu kumi tu uone kama mtachukua hata dakika tano hamjawekwa chini ya ulinzi!
kwenye masuala ya usalama wa nchi usije jaribu cheza na nchi hii.
unajidanganya baba Panya road tu walishindwa kuwajua mpaka wakafika 200 acha kudanganya wajinga
 
Polisiccm katika "ubora" wao.

Jambo leo wameripoti hivo.

Jamboleo%2B4.jpg


Mytake.
Sijui CCM wakifanya mkutano tarehe 23 polisi watajustify vipi ilihali wao wenyewe wamepiga marufuku otherwise sidhan kama tangazo linahusu vyama vya upinzani pekee basi polisi watoe tangazo jingine liwe specific kuwa linahusu vyama vya upinzani tu.
 
Udikteta uchwara as usual.

Kwa kigugumizi cha IGP huo mkutano utafanyika na utalindwa kwa maduduwasha.

SHAME Tanzania.

"Double standard", inasikitisha. Inavuruguma mshikamano kama taifa. Inawagawanya waTanzania.

Utadhani Tanzania ni ya wana CCM pekee, wengine ni wakimbizi?

Vyama vingi vipo kwa kutegemea huruma ya mtawala ila vipo kwa mujibu wa Kabita ambayo Mkuu wa Nchi ameapa kwa

kuilinda na kuitetea.
 
Udikteta uchwara as usual.

Kwa kigugumizi cha IGP huo mkutano utafanyika na utalindwa kwa maduduwasha.

SHAME Tanzania.

ulitegemea usifanyike? ila itakuwa ni vizuri zaidi wakilinda na magari yao ya kuwasha .....yes
 
Ukisema hivyo una maana hata wananchi wake ni wa hivyo hivyo ikiwa ni pamoja na viongozi wao kwa maana ya serikali?!
ulitegemea usifanyike? ila itakuwa ni vizuri zaidi wakilinda na magari yao ya kuwasha .....yes
Sijaandika kama 'nategemea' au 'sitategemea'..
Kwa serikali hii ya CCM ovu kila itakayolazimisha lazima wakipate.

Uhuni tu kila kona.
 
Nimekubali kuwa watu wanajifunza uongozi wakiwa madarakani tayari
 
Back
Top Bottom