IGP apata kigugumizi mkutano wa CCM

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Jambo leo wameripoti hivo.

Jamboleo%2B4.jpg

Mytake.
Sijui CCM wakifanya mkutano tarehe 23 polisi watajustify vipi ilihali wao wenyewe wamepiga marufuku otherwise sidhan kama tangazo linahusu vyama vya upinzani pekee basi polisi watoe tangazo jingine liwe specific kuwa linahusu vyama vya upinzani tu.
 
Well huu mkutano wa ccm sio mkutano wa hadhara, although nashangaa hata mikutano ya ndani ya wapinzani imekua impacted, well labda wataondoa zuio soon
 
Yangu macho kuangalia Series hizi za Movies Tar.23 majibu yatapatikana na kujua Mbivu na Mbichi.
 
Jambo leo wameripoti hivo.

Jamboleo%2B4.jpg

Mytake.
Sijui CCM wakifanya mkutano tarehe 23 polisi watajustify vipi ilihali wao wenyewe wamepiga marufuku otherwise sidhan kama tangazo linahusu vyama vya upinzani pekee basi polisi watoe tangazo jingine liwe specific kuwa linahusu vyama vya upinzani tu.
Watakuja na taarifa ya kukanusha kuwa hawajawahi kutoa hilo katazo
 
Hivi mkuu haujasikia huko Mara pia hawataki mikutano ya siasa inayompinga mkuu wa nchi.So nahisi hapo ameshindwa kusema moja kwa moja tu kuwa wapinzani hawaruhusiwi kufanya mikutano ya siasa ndani ya mkoa wake.
Hii ndio shida ya kumpa mtu uongozi bila kuangalia wapi ameanzia
 
Back
Top Bottom