Kijeba Kijeba
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 158
- 227
Nchi zote zenye utawala wa Kidemokrasia, viongozi wengi wateule wa Rais huwa wanapitia Kwanza mchujo mkali kabla Rais mwenyewe hajamtangaza kwa umma. Rais mara nyingi huwa anamuidhinisha tu kufuatana na matakwa ya kisheria, lakini anakuwa hana mamlaka ya moja kwa moja ya kumteua mtu na kumuidhinisha au kumuapisha.Rais huwa analetewa majina au jina moja tu la mtu ambaye ameteuliwa na kupitishwa ktk mamlaka za uteuzi ili amtangaze kwa umma.Mimi siijui nchi ambayo afande mkuu hateuliwi na Rais , embu nisaidie mfano.
Hata Tz kitu ni hichohicho Rais analetewa majina yakiwa teyari yashapita kwenye mchujo hawezi akasema mtu yeyote awe IGP kuna vetted list analetewa yeye ndio anateua kupitia hapo.Nchi zote zenye utawala wa Kidemokrasia, viongozi wengi wateule wa Rais huwa wanapitia Kwanza mchujo mkali kabla Rais mwenyewe hajamtangaza kwa umma. Rais mara nyingi huwa anamuidhinisha tu kufuatana na matakwa ya kisheria, lakini anakuwa hana mamlaka ya moja kwa moja ya kumteua mtu na kumuidhinisha au kumuapisha.Rais huwa analetewa majina au jina moja tu la mtu ambaye ameteuliwa na kupitishwa ktk mamlaka za uteuzi ili amtangaze kwa umma.
Siyo kweli hata kidogo, hususani kwa nafasi kubwa kama ya cheo cha IGP. Rais mwenyewe kwanza huwa anapendekeza majina kadhaa ya watu anaopenda kuwteua, kisha majina hayo yanapelekwa kwa 'wavaa kaunda suti" kwa akili ya kufanyiwa 'vetting.' Baada ya vetting kukamilika majina hayo yanarudishwa tena kwake yakiwa na maoni au mapendekezo ya wafanya vetting, kisha baadaye Rais ndio huteua jina moja na kulitangaza kwa umma.Hata Tz kitu ni hichohicho Rais analetewa majina yakiwa teyari yashapita kwenye mchujo hawezi akasema mtu yeyote awe IGP kuna vetted list analetewa yeye ndio anateua kupitia hapo…
Makosa yao yana dhamana kwanini hawapewi dhamanani kama hao wahalifu wachochezi wanatumwa sijui na nani kufanya upotoshaji, ili wapate sympathy kitu ambacho hakina maana yoyote 🐒
lazima wawajibike, Lazima kushirikiana na polisi kadiri inavyoonekana inafaa. hiyo ya sijui nani ana faa au haifai, sijui anafuata maelekezo kutoka wapi na wapi.....
ni maoni na mtazamo wako tu, na ni haki yako. Lakini ile muhimu na yalazima, hao wangwana wapende wasipende, mpende msipepende Lazima wawajibike 🐒
Sio hao hataHata jaji mkuu hatakiwi kuteuliwa na Rais, Spika wa bunge hatakiwi kuwa kwenye chama ambacho Rais ndo mwenyekiti wake.
Katiba iliyopo nchi ina muhimili mmoja tu mihimili mingine imepewa uhuru wa uongo ila yote ipo kwenye maamuzi ya Rais
Kwani katiba inasemaje lo??