SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,819 Reaction score 2,061 Aug 30, 2018 #41 Nikikumbuka shule, naikumbuka Ifunda. Tulienda Kivalali kurekebisha miundombinu ya maji yaweze kufija shule 2k5. Bila kusahau Lyandembela. Mwl Kigava akiwa nje anakuwa mtemi vibaya, ila darasani anakuwa peace ajabu. SUKAH
Nikikumbuka shule, naikumbuka Ifunda. Tulienda Kivalali kurekebisha miundombinu ya maji yaweze kufija shule 2k5. Bila kusahau Lyandembela. Mwl Kigava akiwa nje anakuwa mtemi vibaya, ila darasani anakuwa peace ajabu. SUKAH