Ifunda Technical Secondary School tukutane hapa

Ifunda Technical Secondary School tukutane hapa

Mzee unawakumbuka Shaban Nsute na Cleophas Nkoswe?
Mwl shabani alikua mbabe sana alihamishwa kwa nguvu mno saiv yupo tanga tech. alikua anajiita headmaster wakat yeye ni second. saiv ni Mwlbwa kawaida tuu tanga tech. anastaafu mwakani.
 
Nimemaliza Ifunda Tech 1986. Nilisikitika sana baada ya kuambiwa kuwa the School is no longer a Technical one. It has been changed to High school. Hivi siku hizi Beche na Ng'ombe a.k.a Mapapai bado vipo????
 
Mwl shabani alikua mbabe sana alihamishwa kwa nguvu mno saiv yupo tanga tech. alikua anajiita headmaster wakat yeye ni second. saiv ni Mwlbwa kawaida tuu tanga tech. anastaafu mwakani.

Shabani alikua mwalimu wa Electronics huku Mbungi (Kiswele) akipiga electrical installation na Electrical engineering
 
Nilifundisha hapo 2009 nashukuru pia hapo ndio nilimpata mama watoto wangu!!!

Duc In Altum.
 
Baadae mabweni ya wasichana yalikua yanaitwa Sinza. Kusimama kati ya mwanamke na mwanaume ilikua inajulikana kama minazi, nilikua na maneno murua kama kulazwa, kuuzoa, kevu, nyoya, kia, salamanda, nyuka, nawakumbuka waalimu wangu maarufu Kaguo, Mwinuka, Luhwago, Mbaya, PerTime, Kajembula, Kocha, Luwanda, Mwasomola, nilipita huko 1997 hadi 2000 wakati A level ndio inaanzishwa.

Luhwago nilimkuta pale pia mzee mmoja mwili nyumba!!!

Duc In Altum.
 
Nilifundisha hapo 2009 nashukuru pia hapo ndio nilimpata mama watoto wangu!!!

Duc In Altum.
hongera Mkuu ulichukua toto ya advance au ifunda girls?? daa inaonyesha ulikua unazutafuna sana mbunye za wanafunzi wa tech. by the way hongera msalimie shem.
 
Shabani alikua mwalimu wa Electronics huku Mbungi (Kiswele) akipiga electrical installation na Electrical engineering
mzee katoka pale tech kwa nguvu sana. inshort ifunda ilikua ni nyumbani au shule yake kabisa maana naskia kaasoma pale nna maisha yake kafanya kazi pale!!
 
Nilipita pale 1996 1999 na wale wasanii wa east coast team kipindi Hicho walifahamika kama SOG family Akina Ambwene Yessaya Bila Shaka ndiyo huyu anajiita Ay pamoja na Akina Adam semkwiji. headmaster Mnenuka second Mnaroma. Kulikuwa na mateacher wanapenda Sana soka Raphael na Owel na pale block eight kwa Kipengele. alafu miaka Nipo pale ifunda. huyu dj Bura wa clouds Alikuwa Anaishi pale ifunda kwa ndugu yake Mwl Millinga pale kotaz na Alikuwa anasoma ifunda taasisi Jina lake ni Victor. tulikuwa tunaruka naye Sana disco pale Mazengo hall
 
Daaahaa we lijamaa kuja apa mantuman hyoo,,,hahaa our moto is skills & efficiency
 
Nilipita pale 1996 1999 na wale wasanii wa east coast team kipindi Hicho walifahamika kama SOG family Akina Ambwene Yessaya Bila Shaka ndiyo huyu anajiita Ay pamoja na Akina Adam semkwiji. headmaster Mnenuka second Mnaroma. Kulikuwa na mateacher wanapenda Sana soka Raphael na Owel na pale block eight kwa Kipengele. alafu miaka Nipo pale ifunda. huyu dj Bura wa clouds Alikuwa Anaishi pale ifunda kwa ndugu yake Mwl Millinga pale kotaz na Alikuwa anasoma ifunda taasisi Jina lake ni Victor. tulikuwa tunaruka naye Sana disco pale Mazengo hall

hongera mkuu kumbe ulisoma na AY. kama kawaida mazengo tuliifaidi sana.
 
Huyo mzee alinifundisha electronics japo alikua mweupe ila alikua mtemi sana.
Nakumbuka kuna siku jamaa waliiba mahindi shamba la shule, mlinzi alimpiga jamaa akavimba usoni. Iliporipotiwa shule, Ilipigwa king'ora watu wote assembly, mlinzi akasema nilimpiga kichwa lazima itakua amevimba uso. Kosa alilofanya walimnyang'anya koti lake. Wakaanza kuwasaka watu wore wenye makoti ya aina ile, mida ya SAA 11 jioni liliingia kosi bwenini kuja kuchukua mkusu, Kabati na godoro lake. Jamaa bado alikomaa akagoma kwenda.
Jioni nikamsihi twende kwa Mzee Shabani kwa kua ndio alikua mwalimu wa uzalishaji. Tulipofika home nikavunja ukimya, tukapigwa msosi fresh kisha akamwambia jamaa aandike Yale maelezo yote tulioyatoa pale. Hawakufukuzwa shule ila walipigwa Suspension na kulipishwa magunia ya mahindi.
hapana mkuu sisi tulikua tunamwita sheby au shabani alikua mweusi. pia alikua anasifikabkwa mbio sana, alikaua mcheshi na mwenye kurahisisha mambo sanA.
saivi yupo tanga tech nahis atastaafu mwakani coz umri umemtupa mkono
 
Ni huyo huyo Kamanda, mweupe kwa maana ya kwamba hakuna anaiweza electronics, alikua MTU wa Tabora, mweusi mrefu, alipendelea sana kuvaa suti zisizo na koti enzi hizo.
ok sawa mkuu nimekupata. nlidhani wasema mweupe wa sura.
 
hongera Mkuu ulichukua toto ya advance au ifunda girls?? daa inaonyesha ulikua unazutafuna sana mbunye za wanafunzi wa tech. by the way hongera msalimie shem.

Sio sana kaka! Nilichukua pale pale tech alikuwa anasoma PGM, ila nilimfaham tu baadae tukakutana kama zali Arusha ndio mambo ya mapenz yakaanza had ndoa!

Duc In Altum.
 
Ni huyo huyo Kamanda, mweupe kwa maana ya kwamba hakuna anaiweza electronics, alikua MTU wa Tabora, mweusi mrefu, alipendelea sana kuvaa suti zisizo na koti enzi hizo.
Shabani anastaafu mwaka huu yupo Tanga Technical utemi kaacha sasa mana Tanga Tech hana nguvu ivo yupo tu department ya umeme anafundisha form three Electrical installation na Electronics baadhi ya madarasa
 
Sio sana kaka! Nilichukua pale pale tech alikuwa anasoma PGM, ila nilimfaham tu baadae tukakutana kama zali Arusha ndio mambo ya mapenz yakaanza had ndoa!

Duc In Altum.
hongera sana mkuu ni jambo jema.
 
Back
Top Bottom