johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,022
- 142,065
Chadema huko Ifunda Jimboni Kalenga Mkoani Iringa wamelalamika bendera zao katika vijiwe Vyote zimeshushwa usiku ili kupisha mapokezi ya Katibu mkuu wa chama Komredi Chongolo
Ifunda maeneo ya Ihemi ndiko kuna Chuo Kikuu cha UVCCM
Siasa ni Sayansi!
Ifunda maeneo ya Ihemi ndiko kuna Chuo Kikuu cha UVCCM
Siasa ni Sayansi!