donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Kwani mara ya mwisho umekivaa lini? Usitake kuniambia Ramadhan hadi RamadhanKibaraghashia changu kipo wapi?
HahahahKibaraghashia changu kipo wapi?
July 2012, nilipewa kitabu Unguja nikashindwa kusoma, hicho kinavaliwa kukiwa na ubeche tu.Kwani mara ya mwisho umekivaa lini? Usitake kuniambia Ramadhan hadi Ramadhan
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Basi itundike nyuma ya mlango iwe rahisi kuiona ktk tukio muhimu [emoji1] [emoji1] [emoji1]July 2012, nilipewa kitabu Unguja nikashindwa kusoma, hicho kinavaliwa kukiwa na ubeche tu.
Ipojuu ya kabati la vitabu nishaiona,hiyo na nyingine kama ya Mzee Nimrod Mkono.Basi itundike nyuma ya mlango iwe rahisi kuiona ktk tukio muhimu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahahahahhaaa sikukuelewa kuhusu kitabu, wewe aliyekwambia ukae safu ya mbele nani? Siku nyingine kuwa karibu na mwisho, ukipewa tena kitabu pokea pale pale mpe jirani mwambie "Shekh tafadhwali huku unambwagia miguuni maana anaweza kukikataa ikala kwako.July 2012, nilipewa kitabu Unguja nikashindwa kusoma, hicho kinavaliwa kukiwa na ubeche tu.
Kuna mtoto mmoja wa Kizenj alinizingua bado kidogo nisilimu, nimeingia Zenj kichwa kichwa macho juu, kwa nininisipewe kitabu.Ahahahahhaaa sikukuelewa kuhusu kitabu, wewe aliyekwambia ukae safu ya mbele nani? Siku nyingine kuwa karibu na mwisho, ukipewa tena kitabu pokea pale pale mpe jirani mwambie "Shekh tafadhwali huku unambwagia miguuni maana anaweza kukikataa ikala kwako.
Usinivunje mbafu yaani [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna mtoto mmoja wa Kizenj alinizingua bado kidogo nisilimu, nimeingia Zenj kichwa kichwa macho juu, kwa nininisipewe kitabu.
Nikawaambia mimi Komredi, kusoma labda Kirusi, Kirabu kituo cha polisi.
Wakacheka sana.
Hivi huyu mzee yupo?Ipojuu ya kabati la vitabu nishaiona,hiyo na nyingine kama ya Mzee Nimrod Mkono.
![]()
Yupo kakaakimya anaangalia mchezo wa Magufuli unavyoenda tu.Hivi huyu mzee yupo?
Duh! Kumbe ndo maana, lkn bado ni mbunge?Yupo kakaakimya anaangalia mchezo wa Magufuli unavyoenda tu.
Serikali ya Magufuliilimkosea heshimavibaya sana na kumfungia milango ya ofisi yake, akawa mdogo mwenyewe.
Yupo, mbunge bado, as far as I know.Duh! Kumbe ndo maana, lkn bado ni mbunge?
Hizi hua wanavaa wataalam wa ubwabwa. Umenikumbusha pemba mkuu maeneo ya machomaneIpojuu ya kabati la vitabu nishaiona,hiyo na nyingine kama ya Mzee Nimrod Mkono.
![]()
Hahahaa, huwa wanawasili na ndizi zao kabisa wasipaliwe na ubwabwa.Hizi hua wanavaa wataalam wa ubwabwa. Umenikumbusha pemba mkuu maeneo ya machomane