hahahah kweli wewe ndio kichwa maji hivihao wanaosoma IFM hawapati kazi mtaani?na kama wanapata wanaowaajiri ni vilaza nao ?wacha ujinga kabisa nyinyi ndio mnaosema shule za akademia ni nzuri zaidi kiuhalisia ni kweli lakini je waliosoma hizo shule ZA KAYUMBA hawafanikiwi?jamaa kasema ukweli !! The best Tanzania univsty ni
1. UDSM
2. SUA
3. MZUMBE
4. UDOM
Wengne mtajipangia hzo namba zinazofuata huko nyuma !! Turudi kwenye mada yetu kwa kweli ifm ni moja wapo wa vyuo vya kata tena kwa vilazaaa kabisa nyie wanafunzi wa ifm mnajua kuvaa nguo chini ya makalio so mwisho wa siku ni bora hcho chuo kingekuwa cha fashion na usharobaro wa kipumbavu ila tukirudi katika suala zima la kitabu a.k.a Elimu pale ni empty set !!
True my NiggA.!?
Kuna jamaa yangu m1 nilisoma naye miaka hiyo na yuko hapo IFM matokeo ya semester amepata supp ya account sasa juzi kaniomba nimkopeshe elf 50 wanataka wakamhonge lecture ili awatoe kwenye hiyo supp akadai bila hivyo hatoki..!?
Nilimshangaa sana
hahahah kweli wewe ndio kichwa maji hivihao wanaosoma IFM hawapati kazi mtaani?na kama wanapata wanaowaajiri ni vilaza nao ?wacha ujinga kabisa nyinyi ndio mnaosema shule za akademia ni nzuri zaidi kiuhalisia ni kweli lakini je waliosoma hizo shule ZA KAYUMBA hawafanikiwi?
hawa
1. UDSM
2. SUA
3. MZUMBE
4. UDOM
ALL IN ALL TUNATAKIWA TUPATE KILE TUNACHOKIITAJI KATIKA MAISHA ,HIKI NDIO MUHIMU ,KAMA WANAPATA HAO SIJUI IFM,DIT,TAALUMA INAYOWASAIDIA KUPATA KAZI NZURI NA KUWEZA KUJIAJIRI MI SINA TATIZO,
huyo jamaa nimemsoma ni sawa na anawaza kwakutumia masaburi hawazi mbali ana urojo kichwani na inawezekana kabisa hata boss wake ametoka kwenye hivyo vyuo anavyovidharaudahh.ngoja nijichekee tuuuuu..ahhhhhhhhhhhhh..ila inauma kuzalilisha chuo wanachosoma watanzania kama wewe wote hatuwezi kwenda sehemu moja
huyo jamaa nimemsoma ni sawa na anawaza kwakutumia masaburi hawazi mbali ana urojo kichwani na inawezekana kabisa hata boss wake ametoka kwenye hivyo vyuo anavyovidharau
Nyie dharauni tuuu lakini jua kuwa hivyo vyuo vimewapatia watu maisha bora ,kazi nzuri na kufikia malengo yao tena na zaidi,ni wewe tu kujua unachokitafuta chuo hicho ni kizuri ila huyo msomaji namazingira ya hicho chuo na kuiga kwingi ndio kinachokufanya mjudge like that.mimi sio muhusika ila nafanya kazi na hao watu na ni wazuri kiufanisi ,
Ofkoz sio chuo,bali ni taasisi,vyuo ni kama,sua,ud,mzumbe,udom na saut-main cumpus.
Ofkoz sio chuo,bali ni taasisi,vyuo ni kama,sua,ud,mzumbe,udom na saut-main cumpus.
Huna hoja na hujui unachokiandika ka vp kaa chini? Tena bila shaka wewe ulitaga A-level na unasoma certificate pande hz !!
INSTITUTE OF FAILURES AND MANAGEMENT.(IFM):loco:
This is the world where everyone claim to be speaking the truth.
"mtaani ndio kipimo cha usomi wako"
jamaa kasema ukweli !! The best Tanzania univsty ni
1. UDSM
2. SUA
3. MZUMBE
4. UDOM
Wengne mtajipangia hzo namba zinazofuata huko nyuma !! Turudi kwenye mada yetu kwa kweli ifm ni moja wapo wa vyuo vya kata tena kwa vilazaaa kabisa nyie wanafunzi wa ifm mnajua kuvaa nguo chini ya makalio so mwisho wa siku ni bora hcho chuo kingekuwa cha fashion na usharobaro wa kipumbavu ila tukirudi katika suala zima la kitabu a.k.a Elimu pale ni empty set !!