IFM selected students 2016/2017

IFM selected students 2016/2017

pole una D -2 ,CAS....... HAIJALIBIWI.......
Dogo tofautisha 2014&2015.Miaka hiyo kulikua na B+ ambayo ina thamani ya B ya sasa kwahiyo C ya miaka hiyo tajwa ni D ya sasa.Ila kwa mwaka huu wamerudisha utaratibu uliokua unatumika huko nyuma wameondoa B+ ko C ya ss ina thamani ya 3.
 
haya na mfano wa mtu mwenye CEE ameshindwa kuapply nafikir n kwa wale 8000
 
1474409904255.png
hyo ni email kutoka ifm bt hyo 2.0 imenichanganya sanaaa it means month ndo tunaripot Au?? Tusaidiane wakuu
 
Mkuu hapo anamaanisha usajili utafanyika jumatatu ya tarehe 26 september, halafu mtarudi nyumban hadi tarehehe 10 october mtakaporudi kwa ajili ya orientation week then tareh 17 mtaanza muhura mpya wa masomo
Ahsant Mkuu...so kwenda kujisajiri unaenda na vitu gani mkuu?? Sorry kwa usumbufu Mkuu.
 
Ahsant Mkuu...so kwenda kujisajiri unaenda na vitu gani mkuu?? Sorry kwa usumbufu Mkuu.
Unaenda na vyeti vyako orgn n uwe umelipa ada....ifm ndo walivyo usajili huwa unawah hvyohvyo lakn hata ukienda Oct utakuta unaendelea tu my b utaratb uwe umebdlk
 
Back
Top Bottom