IFM selected students 2016/2017

IFM selected students 2016/2017

Ahsant Mkuu...so kwenda kujisajiri unaenda na vitu gani mkuu?? Sorry kwa usumbufu Mkuu.
Mkuu vitu huwa vinatofautiana kati ya chuo na chuo japokuwa vingi huwa vinafanana, nachoweza kukushauri tarehe 23 nenda kachukue admission letter maelezo mengine yote utayakuta humo
 
Unaenda na vyeti vyako orgn n uwe umelipa ada....ifm ndo walivyo usajili huwa unawah hvyohvyo lakn hata ukienda Oct utakuta unaendelea tu my b utaratb uwe umebdlk
Ahsant mkuu
 
Nakama unategemea mkopo mkuu inakuaje hapo?
 
Unaenda na vyeti vyako orgn n uwe umelipa ada....ifm ndo walivyo usajili huwa unawah hvyohvyo lakn hata ukienda Oct utakuta unaendelea tu my b utaratb uwe umebdlk
Unaenda na vyeti vyako orgn n uwe umelipa ada....ifm ndo walivyo usajili huwa unawah hvyohvyo lakn hata ukienda Oct utakuta unaendelea tu my b utaratb uwe umebdlk
Hapo kwenye ada cjaelewa
 
Back
Top Bottom