IFM - Huu ni Uzembe

IFM - Huu ni Uzembe

Sijui amekula maharage ya wapi huyuuu, sijui ni nani aliemloooga yuleee! Sasa ni saa yaaaa...........
 
Naona wanafunzi wa cbe na IFM wameamka,hvi na nyie huwa mmeridhika kbsa eti mpo chuoni.?hvi hyo ni vyuo au kichefuchefu..

We kweli bogas kabisa hatuangaliii elimu unayopata au unasoma chuo gani tunaangalia elimu yako uliyoipata hapo chuo imekusaidiaje katika kujikomboa na umaskini.hata ukasoma havard then ukishindwa kuitumia elimu uliyoipata ni sawa tu na mtu ambaye hajasoma.shenzy typeeeee weeee
 
hamna Bcom ifm acha uongo nenda banks huoni vijana wanavyochapa kazi

Bcom ni kiambilishi (sorry nilikuwa na F ya kiswahili) tu mkuu....NAMAANISHA MA GRADUATES WA LEO
 
Back
Top Bottom