Baadhi ya picha kutoka kwa photoshoot za matineja wa Nairobi 'Naii' zilizosababisha wakenya kuibuka na hashtag maarufu, Ifikie Wazazi. Ili kuwafahamisha kuhusu tabia za watoto wao, ambao ni wanafunzi eti. Vijana wa siku hizi buana!
Hatari sana, enzi zetu wakati wa likizo tulikuwa tunaenda kutongozana kwenye mazoezi ya kwaya kanisani. 😀 Hawa jumapili wanafika downtown Nairobi kufanya photoshoot na kadhalika.
Wakerekezi? Hilo labda kwa M7 ama Kagame. Wainaina sio jina la kike. Ungeuliza maana ya majina hayo ungeyapenda. Umesahau na Nyambura, Njeri, Wanjugu, Wamuyu, Wanja, Wanjiku, Wangui na Wairimu. Hiyo U huwa inatamkwa kama O, yaani Wamboi, Wamoyo. Alafu hamna haja ya kuyafupisha, yote kitamaduni huwa yanakuja na A.K.A zao. Wanjiku inakuwa Shiko, Wanjiru-Shiro, Wangui-Kui, Wairimu-Mimmo/Nimo, Wambui-Bobo n.k nk. Majina matamu kweli kweli! Cc. Sky Eclat