Ifikie wakati sasa watanzania tuache unafki wa kumfurahia Joti na uigizaji wake wakishoga

Aache kuigiza kike haileti maana tena wala hafurahishi na ajue wengi hubadili channel pindi wanapomuona maana imekuwa kero to be honest.
 
Kwa nini unahubiri chuki?

Kwani umelazimishwa kutazama?

Utapiga marufuku na nyimbo za Marijani, Sikinde etc ambazo wanaume wameimba kama wanawake?
 
Mimi nafikiri Suala hapa ni kuishauri serikali katika vipengele vyake kwenye katiba vinavyohusu mambo ya kisanii kuwe na kipengele kinachokataza Msanii mwenye jinsia flani kutotakiwa kucheza ama kuvaa ujinsia mwingine kwenye mchezo atakaoucheza!!

Nadhani hii ingesaidia sana kwenye jamii ya watoto na wale wepesi wakudaka mambo ya kipuuzi yanayorushwa wazi wazi.
 
Daah mkuu umenigusa. Moja kati vitu nakelwa na vinavofanya nimchukie joti ni kuigiza kama dem. Aache tabia yake ya kijinga kama ananisikia.
 
Dah mkuu uko right kabisa,yaani uju jamaa haoni cha kuchekeshea watu mpaka aingize uchokochoko wake na ungese.wakati watoto wote wanamwangalia yeye alafu wanamuiga chochote anachofanya,.alafu kidevu chenyewe kimekomaa kama goti,.mofiwahedi
 
Kazi ya msanii ni kuigiza yaliyoko kwenye jamii.

Wasanii wanaigiza mpaka mashetani na Mungu na Yesu leo unataka kuwazuia??

Joti anaigiza kama mwanamke na sio shoga, umeshawahi kuona anapapaswa masaburi??

Au hujui nini maana ya shoga??

Waweza sema jambo la kweli lakini HAIPENDEZI, pia inaweza poteza maana
 
Waweza sema jambo la kweli lakini HAIPENDEZI, pia inaweza poteza maana
Suala la kupendeza au kutopendeza ni suala la preference tu mkuu.

Ukifuatilia toka enzi za zamani waigizaji wa kitanzani walikuwa wanaigiza kama wanaume au wanawake.

Shule za msingi , vikundi vya uigizaji na vinginevyo vilikuwa vinaigiza tu hakukuwa na shida.

Kwa nini leo iwe tabu na ionekane haipendezi??

Tatizo ni la Joti au la jamii kuwa na mitazamo ya kishoga shoga??
 
acha kubania rizki ya mwenzako, haya akipigwa marufuku familia yake utailisha wew?
 
acha kubania rizki ya mwenzako, haya akipigwa marufuku familia yake utailisha wew?
mbona Joti ni msanii mzuri tuu, ila kwa kuwacha kuigiza kishoga shoga mbona hato lala njaa! mbona alikuwa anaigiza kama mtoto wa shule au mtu mwengine na rizki yake anapata lkn sio kutumia kipaji chake kwa kuipotosha kizazi chetu kujifananisha na mwanamke!
 
Ok nipewe kibali na Serikali ili nimalize hili tatizo hapa nchi nipewe mahitaji haya:

-Sub-Machine Gun 1

-A.K.A 47 Mbili

-Bullet Proof

-Landcruzer 1 v8

Nimalize hili tatizo within a 1 hours Tanzania nzima!
 
Elimu Elimu Elimu...

Nenda chuo kikuu uwaombe vijana wanaosoma kiswahili wakufundishe aina za tamthilia ikiwemo komedi utaelewa kwamba anachokifanya Joti kipo darasani.
 
kwani lazima mtu abadili uhusika ili kuichekesha hadhira??? afungiwe huyo asee mwanaume unapaka lipstick na unaongea kama wamama wa mwambao ili mtu acheke??thats stupidity anadhalilisha uanaume....!!!! kenya kuna stand up comedy inaitwa churchill show people are so funny there na hawavai uhusika kipuuzi kama hawa wa kwetu
 
tatizo la watz si elimu naona tatizo la watz ni hekima na kuchambua mambo ya msingi.msanii hana kosa ktk kuigiza uhusika msanii ni mwalimu wewe umwangaliaye jifunze toka kwake usimwangalie mwigizajina kumhukumu .hapa naona ni wivu tu na watu kutokua na upeo.watz acheni wivu ni vema fikara zenu zikatoka kichwani na si miguuni
 
tatizo la watz si elimu naona tatizo la watz ni hekima na kuchambua mambo ya msingi.msanii hana kosa ktk kuigiza uhusika msanii ni mwalimu wewe umwangaliaye jifunze toka kwake usimwangalie mwigizajina kumhukumu .hapa naona ni wivu tu na watu kutokua na upeo.watz acheni wivu ni vema fikara zenu zikatoka kichwani na si miguuni
wewe mkuu ndio mwenye uwezo mdogo wa kuchambua maisha halisi ya jamii yako! eti umeandika "msanii ni mwalimu wewe umwangaliaye jifunze toka kwake usimwangalie mwigizajina kumhukumu" sasa watoto wetu wamuangalie wajifunze nini kwake! kubana pua au watoto wakiume kuigiza ujanajike! Joti ni msanii kumbwa sana mkuu hebu kumbuka alivyo anzisha mtido wake ule wa mwendo wa kijotijoti, nini kilikuwepo mtaani! au na wewe ndio wale wale!
 
Kwa kweli ifikie wakati tuchukuwe hatua ya kuchukia vitendo vya kishoga si tuu kwa kuwachukia mashoga bali hata vitendo vinavyo ashiria ushoga, why Msanii mkubwa kama Joti ane igiza kama shoga siku zote na hatulalamiki wakati tunajua fika kwamba Msanii ni kioo cha jamii! Sasa Joti anapoigiza kama Shoga hivi anawafundisha nini watoto wetu!
Serekali ipige marufuku kabisa usaniii wa kijoti!

Siyo kweli hii ni chuki binafsi. Joti huuigiza kama mwanamke si shoga. Nampenda Joti go ahead bro.
 
Back
Top Bottom