MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,293
- 39,977
Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni mwanaCCM hali inayoleta mshangao. Tusiwe kama BAVICHA ambao hutukana kila mtu hadi viongozi wao.
Pia soma:
Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
www.jamiiforums.com
Pia soma:
Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
PreGE2025 - Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji
Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah? Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu? https://www.youtube.com/live/yxNmWDyh7IY?si=5XhLpYUAZTHZeV6I "Luhaga Mpina akinyimwa...