Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,945
- 4,827
Ifike mahali Tanzania tuwe bize na maendeleo tu kuanzia juu hadi kwa raia mmoja mmoja.
Habari za siasa may be zitawale kipindi cha uchaguzi tu, baada ya uchaguzi kupita na kumuweka kiongozi ambae tumeona anafaa tuwe tena bize na maendeleo tu
Hata tukiona Rais ambae aliepita hafai basi tuachane na kupiga udaku maana mpaka sasa tumeona udaku haujawahi kufaa kwa lolote.
Tuendelee kuwa bize na focus yetu iwe bize kwa maendeleo tu.
Uongozi nao uachane na habari za siasa siasa tu muda wote ufocus kwa maendeleo ya nchi, Vijana nao waachane na habari za tiktok, connections habari za ujingaujinga mwingi, focus iwe ktk maendeleo binafsi.
Huenda mwanga tukauona maana Tanzania tupo nyuma sana mazee, soon tutakuwa nchi ya ulimwengu wa nne.