Hua najiuliza sana kuna umuhimu gani wa kuishi zaidi ya miaka 70 na utakua unafanya nini baada ya umri huo zaidi ya kusumbua tu watu?Uishi miaka yote hiyo ili ugundue nini aisee 70 tu inatosha sana
Sawa mkuu!!ni hivi, dunia hii tuitizame kwa pande mbili.... unapofikiri wote tutakufa, kumbuka kuna reicarnation... na ndiyo maana nikasema baadhi ya watu watakuwa hai. hata miaka hii ya sasa, wapo wengi ambao inaweza kuonekana walikufa ila leo wanaishi kwa form nyingine, na wanajitambua. ulimwengu mzito sana.
Ni kweli mkuu, hata hapa tulipo kuna mabadiliko makubwa. Mfano, miaka ya nyuma mwanaume mwenye miaka 45 alikua ni mzee kabisa ukimuona. Mwanamke vile vile. Ila kwa sasa mwanaume wa miaka 50 ni kijana mdogo bado tena unakuta hata kuoa hajaoa 😀Kuna ongezeko kubwa sana la life expectancy kutokana na maendeleo ya kisayansi kwenye tiba, gene editing, lishe, kiasi kwamba watu kuishi miaka 110 na 120 itakuwa si ajabu.
Hivyo, inawezekana kabisa kuna watoto wanaoishi leo wataiona 2126.
Kama wapo ni kwa idadi ndogo sanaKuna ongezeko kubwa sana la life expectancy kutokana na maendeleo ya kisayansi kwenye tiba, gene editing, lishe, kiasi kwamba watu kuishi miaka 110 na 120 itakuwa si ajabu.
Hivyo, inawezekana kabisa kuna watoto wanaoishi leo wataiona 2126.
Hakuna mwenye 15yrs humu Hilo Rika linapenda pichapicha na video mjongeoJf sema the youngest labda ana 15yrs, hakuna mtu anaweza kuishi miaka 115 kwa sasa. Wote tutakuwa six feet under.
Hesabu za mwaka 2025 zinaonesha kuwa Japan ilikuwa na watu wenye miaka 100 au zaidi wapatao 99,763.Kama wapo ni kwa idadi ndogo sana
NdotoHujawaza kwa huu ukuaji wa technology watu wataweza kuishi hata miaka mia mbili au zaidi
Mpaka kufika 2050 pengine kifo kitakua kimepatiwa ufumbuzi wa kudumu
Wewe ndio bado unaota ama u mshamba wa technogy ilipofikaNdoto
Amka usingizini
Forget about it. Na haitatokea.Wewe ndio bado unaota ama u mshamba wa technogy ilipofika
Si kweli mkuu ,kuna watu wanatoboa hadi 120 yrs ,nenda Kilimanjaro na Mbeya uone mabibi wana 110.Duniani kwa Sasa tunakadiliwa kuwa watu bil 8.3. Hii idadi ya watu hatutakuwa hai ifikapo mwaka 2126.
Fikiria alafu chukua hatua
Siwezi kubisha mkuu. Wakipata ufumbuzi wa kudumu wa kifo, basi itabidi wafunge kuzaanaHujawaza kwa huu ukuaji wa technology watu wataweza kuishi hata miaka mia mbili au zaidi
Mpaka kufika 2050 pengine kifo kitakua kimepatiwa ufumbuzi wa kudumu