wapo watu, hata humu jf wapo, watakuwepo huo mwaka. amini usiamini, utake usitake. nakuibia siri.Duniani kwa Sasa tunakadiliwa kuwa watu bil 8.3. Hii idadi ya watu hatutakuwa hai ifikapo mwaka 2126.
Fikiria alafu chukua hatua
Wakina chuan do tan bado vijana kabisawapo watu, hata humu jf wapo, watakuwepo huo mwaka. amini usiamini, utake usitake. nakuibia siri.
Hatua gani hiyo ya kuchukua?Fikiria alafu chukua hatua
Jf sema the youngest labda ana 15yrs, hakuna mtu anaweza kuishi miaka 115 kwa sasa. Wote tutakuwa six feet under.wapo watu, hata humu jf wapo, watakuwepo huo mwaka. amini usiamini, utake usitake. nakuibia siri.
You're entirely brainwashed to think so.Jf sema the youngest labda ana 15yrs, hakuna mtu anaweza kuishi miaka 115 kwa sasa. Wote tutakuwa six feet under.
Weka facts zako mkuu!!You're entirely brainwashed to think so.
Uishi miaka yote hiyo ili ugundue nini aisee 70 tu inatosha sanaNi miaka 100 hiyo, wapo watakaofika
ni hivi, dunia hii tuitizame kwa pande mbili.... unapofikiri wote tutakufa, kumbuka kuna reicarnation... na ndiyo maana nikasema baadhi ya watu watakuwa hai. hata miaka hii ya sasa, wapo wengi ambao inaweza kuonekana walikufa ila leo wanaishi kwa form nyingine, na wanajitambua. ulimwengu mzito sana.Weka facts zako mkuu!!
Kuna ongezeko kubwa sana la life expectancy kutokana na maendeleo ya kisayansi kwenye tiba, gene editing, lishe, kiasi kwamba watu kuishi miaka 110 na 120 itakuwa si ajabu.Duniani kwa Sasa tunakadiliwa kuwa watu bil 8.3. Hii idadi ya watu hatutakuwa hai ifikapo mwaka 2126.
Fikiria alafu chukua hatua