Ifanye simu yako kuwa private daima

Ifanye simu yako kuwa private daima

Hello wana JamiiForums! Leo nimekuja kujuzana zaid katika ulinzi wa sm yako na kuitumia ww kama ww daima!
Na ata ukiipoteza ama kuibiwa nivgumu kutumiwa na mtu mwengine yyeto yule!

Kuna hii program ambayo unaweza kulock mtandao au sim yaan nikiwa namaana simu yako aiwez tumia line nyengine yeyote au namba nyengine isipokuwa hyo iliokwenye sm ata kwa kuflash ama kurestore aiwez kutoka
Nakulock mtandao sm yako aitatumia mtandao wowote ule mbali na mtandao uliokweny line
Na kama utabadili line itakulazm uweke password ambazo ww mwenyewe umeweka. Kama ukiweka password sm itafanya kaz kama umeisahau bhas sm itawaka lakin aipandish mtandao kwa garama yeyote ile
Na ndivo ivo ivo kama umelock mtandao sm itawaka utapata huduma zote ila uwez fungua internet.

Kabla ya kufanya mabadiliko kweny sm yako hakikisha umesave data za awali maana unaweza kuuwa sm yako kabisa
PROGRAM hii aichagui root device au unroot device

Inapatikana kweny play store mtk engineer mode
da4b373a6727d0044fe068016d94036e.jpg
Tb

d711a4faa28e9168c8a1df4cd7668a88.jpg

S
 
Usidhani uvivu wako wa kutokujua ukadhani na wengine hawajui kwa kutokujua kwako ukatuona na wote hatujui,,,nasema na narudia kaeni familia nzima,ipigen hyo simu lock mnazotaka,muifunge haswa haswa then dk 15 nakukabidhi simu yako ikiwa mukideee... USIHALALISHE KUTOKUJUA KWAKO KWAMBA NA WOTE HAWAJUI,UKIJUA KUSHOTO NASI TUNAJUA KWA UPANDE MWINGINE...
 
Unajua maana ya ku'hack?
Unajua maana ya technology?
Sasa skia, ukitaka simu yako mtu asiiweze labda uifungue alafu unyofoe kifaa kimoja ndani(hapa akigundua pia atakwenda kuweka spare), lakini kuweka setting hakuifanyi simu kuwa imara kama unavyodhani, ndio maana neno HACK likawepo, Ndomana kukawa na neno UNLOCK,
Kwa maelezo mengine hakuna polisi kama hakuna mhalifu na viceversa is true!
 
Kwa maelezo mengine hakuna polisi kama hakuna mhalifu na viceversa is true!
Kuna watu wao wanahisi kubishana ndio njia sahihi kwao, Yani mtu na akili zake anaikingia kifua Android kwenye sekta ya ulinzi., angalau angesema blackberry
 
Haya! Ila hakika itashindikana
wacha ujinga wewe....
kwanza software yenyewe inaitwa MTK ENG. MODE hii naona inatumika kwa simu zinazotumia processor za MEDIATEK tu sio kwa Snapdragon wala Kirin... pia ni kwa Android tu, wakati mimi natumia Windows Phone na iOs, na hayo maMTK huwa nayafanyia modification mpaka naona kinyaa kulimiliki. Ndo maana mpaka sasa nikimuona mtu anatumia simu linalotumia Mtk naona anazingua tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom