Ifakara wanena

Ifakara wanena

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11988364_896664220370320_5007305477486570920_n.jpg
 
Sawa lakini tuwombe uhai hilo hilo bango litakuja kutusuta kama ya nyuma ya maisha bora
 
Kweli ukistaajabu ya firauni hujayaona ya musa.Kweli lichama lililofanya makosa kibao badala ya kuadhibiwa linashabikiwa.
 
Kwenye maisha wote hatuwezi kufanana akili kuna watu hata ukimuuliza leo tarehe ngapi hawezi kukujibu wala siku anishi tu ilimladi kumekucha hata hajui dunia inaendaje na hata hajui kwanini alizaliwa Hata siku ya kupiga kura lazima kuna kura zitaharibika.
 
That is why it is fun to be in the world. The spread of Ukawaism is lethal to mankind.
 
Back
Top Bottom