Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

Nibiru X

JF-Expert Member
Jun 30, 2019
410
369
Salama wana jamii, amani na iwe juu yenu.

Nimependa leo nije na uzi huu juu ya sifongo. Na siki. Jambo ambalo halijazungumziwa sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth. Pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji, ambapo alipewa sifongo yenye siki. Utajiuliza ni kwanini alionja tu ile sifongo alikata roho (Luka 23:36 na Marko 15:36). Mmoja wao alienda mbio, akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha. Alipoipokea akakata roho...

Sifongo ni kitu gani?

Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari, kama dubu, simba, mbwa mwitu. Pia ilitumiwa na wapiganaji vitani, ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo, kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa, ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache, maana sumu kali sana (wataalamu wa usiku hizi). Wanaifananisha sumu kali, ambayo hupigwa kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji. In short, sifongo kwenye siki ni sumu kali sana, tena sana.

Je, sifongo katika siki imetengenezwaje?

Kwa kifupi, taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina fulani ya nyoka na mafuta yake, na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo ya mamba. Lakini haikujulikana taarifa za 100% kama hii ndio hasa ilitumika kutengenezea sifongo iliyotiwa siki, sumu kali sana.

Muwe na mchana mwema.
 
Salama wana jamii, amani na iwe juu yenu. Nimependa leo nije na uzi huu juu ya sifongo. Na siki. Jambo ambalo halijazungumziwa sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth. Pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji, ambapo alipewa sifongo yenye siki. Utajiuliza ni kwanini alionja tu ile sifongo alikata roho (Luka 23:36 na Marko 15:36). Mmoja wao alienda mbio, akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha. Alipoipokea akakata roho...

Sifongo ni kitu gani?

Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari, kama dubu, simba, mbwa mwitu. Pia ilitumiwa na wapiganaji vitani, ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo, kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa, ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache, maana sumu kali sana (wataalamu wa usiku hizi). Wanaifananisha sumu kali, ambayo hupigwa kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji. In short, sifongo kwenye siki ni sumu kali sana, tena sana.

Je, sifongo katika siki imetengenezwaje?

Kwa kifupi, taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina fulani ya nyoka na mafuta yake, na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo ya mamba. Lakini haikujulikana taarifa za 100% kama hii ndio hasa ilitumika kutengenezea sifongo iliyotiwa siki, sumu kali sana.

Muwe na mchana mwema.
Mimi nimekuelewa vizuri tena sana
 
Basi mimi miaka yote Nadhani "sifongo" ni kinywaji cha kuburudisha kutoa kiu! Kumbe ni sumu! Nilishasikia kuwa Nyongo ya mamba ni sumu hatari na mfupa wa nyoka ukichoma hata kama nyoka alikufa kitambo sana bado una madhara makubwa kwa binadamu.
 
Tatizo waliotafsiri biblia kwa kiswahili ndio wameleta mkanganyiko wa maneno yaliyopitwa na wakati na ambayo hayatumiki kwani bilblia ya English inayataja maneno hayo SIFONGO na SIKI ni nini? maneno kama watesi, makerubi, ni maneno ya kiswahili cha zamani sana
 
lakini mkuu,si ungetafsiri yako,kwa jinsi upendavyo,wengi wametafsiri,mfano mashahidi wa yehova,wakatoliki wao wameongeza na vitabu vingine zaidi,kimbembe ni pale tu,tutakaposimama mbele ya Mzee wa siku.
Tatizo waliotafsiri biblia kwa kiswahili ndio wameleta mkanganyiko wa maneno yaliyopitwa na wakati na ambayo hayatumiki kwani bilblia ya English inayataja maneno hayo SIFONGO na SIKI ni nini? maneno kama watesi, makerubi, ni maneno ya kiswahili cha zamani sana
 
Duh hivi jamaa yesu aliwakoseaga nini mbona walikuwa na hasira naye sana dah inauma sana

Yaan watu wamekupiga misumari wakaona haitosh wakampiga na sifongo tena
Teh teh teh.
Swali Zuri tunaomba Kadinali pengo achangie hoja. Akiwa bize hata Gwajima anaweza kuropoka jibu japo hatolijua
 
Basi mimi miaka yote Nadhani "sifongo" ni kinywaji cha kuburudisha kutoa kiu! Kumbe ni simu! Nilishasikia kuwa Nyingo ya mamba ni simu hatari na mfupa wa nyoka ukichoma hata kama nyoka alikufa kitambo sana bado una madhara makubwa kwa binadamu.
y
Ndio uweke akilini tangu Leo hii
 
Basi mimi miaka yote Nadhani "sifongo" ni kinywaji cha kuburudisha kutoa kiu! Kumbe ni simu! Nilishasikia kuwa Nyingo ya mamba ni simu hatari na mfupa wa nyoka ukichoma hata kama nyoka alikufa kitambo sana bado una madhara makubwa kwa binadamu.
y
Ndio uweke akilini tangu Leo hii
 
Tatizo waliotafsiri biblia kwa kiswahili ndio wameleta mkanganyiko wa maneno yaliyopitwa na wakati na ambayo hayatumiki kwani bilblia ya English inayataja maneno hayo SIFONGO na SIKI ni nini? maneno kama watesi, makerubi, ni maneno ya kiswahili cha zamani sana
Ndugu siki umetajwa kama Sourness na Sifongo siphonge uchungu mkali wa kuunguza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom