Ifahamu sayari ya Mars...

Asante kwa kutuelimisha. Zamani walituambia watu wa huko ni wajano na macho yao yako kisogoni ni kweli? mwenye ufahamu atujuze.
Kwa utafiti uliofanywa na wanasayansi hususan wa kipengele cha anga unaonesha kwamba hamna kiumbe chochote kinachoisgi humo kwani kuna volume kubwa ya carbondioxide 96% hali isiyoruhusu kiumbe chochote kuishi humo. Nadhani tupo sawamkuu [HASHTAG]#komagunda[/HASHTAG]
 
Ni nani kawaloga kama kuna sayari zingine zaidi ya moja?.... Nayo haiitwi dunia kwa kionjo cha nia yaani TaNza, wala kati yenu ni nani kainua kisigino chake ili kuwadanganya na kutaka kuwaangamiza?.Lakini kazi ya mwanadamu iliyo njema hujulikana kwa MUNGU kuliko kazi ya mwanadamu iliyo mbovu.... Tukisema tunacheza basi macho hushuhudia michezo na masikio hufurahia sauti ya michezo na mwili kamili kushiriki, lakini kama macho yanaona tofauti na masikio yanasikia tofauti na michezo hiyo kunawalakini jamani....
 
1. Kuna mlima mlefu san a unaitwa Olympus una kilometer 20's ndiyo mlima mlefu ktk mfumo wa jua 2. inaitwa red planet kwa jina lingine kutokana na rangi yake kama chuma kilichopata kutu pia huwa inaonek ana kama imefifia kutokana na rangi yake nyekundu.................. Pia ni sayari yenye kuvutia sana kutokana na kuwa na mazingira yanayofanana na apa duniani, kama vile nyika,mabonde makubwa ,utofuti ni kwamba mars haina dalili kama ishawai kuwa na maji .........cha mwisho muhimu ni kwamba mars ni sayali pekee angalau mwanadamu anaweza kuikanyaga kama atapata nafasi pekee ya kufika kutokana na uwepo wa ardhi kama ya dunia, wakati w mchana jotolinafikia -50c ,lakini ina huaba wa oxygen .....lakini uko venus, Pluto,Neptune, sizani kama mtu atakuja kufikilia kwenda ktk hzo sayali
 
Asante sana.

Je nawezaje kutofautisha kati ya Venus na Jupiter kwa kuangalia kutoka duniani wakati wa usiku kwa kutumia macho?

Je Mars inaonekana nyekundu kweli kwa macho?

Je? Mercury inaonekana kwa macho alfajiri?
Tofauti kati ya Venus na Jupiter ......Venus huwa inaonekana 2 baada ya jua kuzama upande wa magaribi na huwa inakuwa ktk nyuzi 45 mpaka 60 na huwa ina ng'aa sana kuliko ata nyota na ningumu sana kuiona sayali ya Venus utosin au ktk nyuzi 90.......lakini Jupiter inang'aa likini si kwakuifikia venusi ktk kung'aa lakini Jupiter sometime huwa inaonekana utosini au nyuzi 90 unapokuwa ukiitazama .pia utaigundua kwa ukubwa wake........ko nazan utofauti kati ya Venus upo ktk position, size,bright ness,,, kama nilivyo elezea mwanzo
 
Kwa utafiti uliofanywa na wanasayansi hususan wa kipengele cha anga unaonesha kwamba hamna kiumbe chochote kinachoisgi humo kwani kuna volume kubwa ya carbondioxide 96% hali isiyoruhusu kiumbe chochote kuishi humo. Nadhani tupo sawamkuu [HASHTAG]#komagunda[/HASHTAG]
Nina mashaka na huu utafiti. Mars haina atmosphere hii carbon dioxide imetoka wapi? Kama ni kweli hiyo gesi ipo huko kwa uwingi huo basi itakuwa ni sayari yenye joto kubwa kuzidi zote
 
Back
Top Bottom