Ifahamu Ndele, dawa ya kumpata msichana bila kumtongoza

Ifahamu Ndele, dawa ya kumpata msichana bila kumtongoza

Na nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo...
 
Unaanzaje kutumia madawa kwenye kutongoza??huo no upimbi..na kitandan nako utataka utumie booster mwishowe kidude kinagoma khaaa!!jiamin
 
Ayo mambo yapo. lakin kama madem hawakukubali mwenzangu bora ukae kimya kama mm kuliko kutumia uchawi
 
Ndele inafaa kumminyia mwanaume?[MENTION] Amicus Curiae[/MENTION] naomba jibu tafadhali
 
Naomba hiyo dawa haraka nimpate tinnacute,nampenda sana tena bila kumuona,nikiipata hiyo dawa atanitafuta pm mwenyewe huku akilia aisee hadi raha.
 
Uongo mtupu! Huku ni kujidanganya.Huu ni ushirikina tuu ..wanao saka viungo vya albino walianza namna hii!

Ni aibu kijana mzima kuanza kutembea na matunguri au dawa mfukoni!
 
Wengine hodari sana wa kuponda kwavile mnabonyeza keyboard tu lakini madomo zege ilembaya,hongera mleta mada maana kuna uliowastua na kuwapa mbinu ambayo hawaijui.. kiuhalisia ni kwamba hivi vimiradi vya waganga vipo sana mtaani ambavyo kazi yake kubwa ni kukuimarisha kisaikolojia na kuondoa uoga wa kulambwa kibuti, kwa vile unakibinyio mfukoni unajiamini unamuingia hata mwanamke wa maana kwa kujiamini unalamba mzigo unaanza kutangaza mganga fulani kiboko lakini ukweli anao mganga mwenyewe.
 
Domo zege huyu! Una dawa kama hii halafu unaishia kuchukua barmaid! kwi kwi kwi kwi kwi lol!Cheza mbali naye hii dawa utaishia kwa mabarmaid kwa maisha yako yote.

[
QUOTE=Amicus Curiae;12141590]
Nilimbishia akaniambia twende bar fulani hapa mtaani kwetu anionyeshe inavyofanya kazi, kaondoka na barmaid muda si mrefu! Barmaid kamuachia mwenzake upande wake wa kuhudumia wateja kaenda kumburudisha mwana!

[/QUOTE]
 
kumbe barmaid siyo mtu wa maana??
cc Michelle

Nataka nimshuhudie tu kuwa pamoja na kuwa wanakuwa wepesi kukubali,ila wao ni wa maana sana,na nitakufa nikiamini hakuna mwanamke anapenda kulala na wanaume hovyo kuna sababu zinawasukuma na mahitaji kuwa hivyo.

Barmaid ni watu wa maana manake najua mama ambaye amesomesha mtoto hadi akapata mkopo wa chuo akasoma Tumaini sheria wa kwanza na huu Ukimwi usingekuwepobasi tu mdogo mdogo ila ameweza.barmaid ni kina mama, ni shangazi, ni watoto kwa mama zao etc,asione wanaotoa tu kwa huyu kesho kwa yule wakijidai na usomi wao ndio wa maana.
 
Back
Top Bottom