Ifahamu nchi ya watu wa ajabu

Ifahamu nchi ya watu wa ajabu

Ikulu T

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2023
Posts
1,599
Reaction score
4,737
1."Tuna umeme wa ziada" MGAO KILA SIKU?

2. Viongozi wanatembelea LC 300( Moja ina thamani ya Tsh 600M)!! Halafu...
-Wananchi wanakunywa maji ya matope
-Wanafunzi wanakaa chini
-Hospital hazina dawa,vifaa etc

3. Kila siku vyeo vipya,wizara mpya,matumizi makubwa utendaji zero??

4.Wanafunz wa maskini waliomaliza form six wanatoa hela 30000 kuapply mkopo??? Yaani unatoa hela kuapply mkopo??

5."Sisi ni jeshi la wananch" mtu kakutwa na kitambaa cha makamasi kipigo kama mbwa???

6."BOT tuna dollar za kutosha"!! EWURA kuna upungufu wa dollar?? Which is which??

7. Mwanzo---"Ule sio MKATABA ni MAKUBALIANO"
Saa hivi ---MKATABA ndio MAKUBALIANO

Mwisho

Viongozi-- Jamhur ya muungano wa Tanzania
Wananchi--Kazi iendeleee......

You will never know when the snake is pregnant.
 
Weka akili zako pembeni uje tuishi kwa furaha.
 
huu uzi binafsi nilijua novel kali sna
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahaha........
Hahahahahahhahahahahahahaha...

Sasa utapatawa wapi muda wa kumchunguza huyo nyoka. Mkuu.....!!!!
 
Kwahyo unataka viongozi watembelee IST
shule gani wanakaa chini Azania tambaza msalato bwiru ilboru Tabora kibaha
Umeme South Africa mgao mwezi mzima
Sshv East Afrika mpka central Afrika hakuna nchi inafikia kwa maendeleo kwa Tanzania
 
1."Tuna umeme wa ziada" MGAO KILA SIKU?

2. Viongozi wanatembelea LC 300( Moja ina thamani ya Tsh 600M)!! Halafu...
-Wananchi wanakunywa maji ya matope
-Wanafunzi wanakaa chini
-Hospital hazina dawa,vifaa etc

3. Kila siku vyeo vipya,wizara mpya,matumizi makubwa utendaji zero??

4.Wanafunz wa maskini waliomaliza form six wanatoa hela 30000 kuapply mkopo??? Yaani unatoa hela kuapply mkopo??

5."Sisi ni jeshi la wananch" mtu kakutwa na kitambaa cha makamasi kipigo kama mbwa???

6."BOT tuna dollar za kutosha"!! EWURA kuna upungufu wa dollar?? Which is which??

7. Mwanzo---"Ule sio MKATABA ni MAKUBALIANO"
Saa hivi ---MKATABA ndio MAKUBALIANO

Mwisho

Viongozi-- Jamhur ya muungano wa Tanzania
Wananchi--Kazi iendeleee......

You will never know when the snake is pregnant.
Hii nchi Raia ni wafungwa na watumwa wa serikali, bora hata wakolon wa mababu zetu walikuwa wanatulimisha ila social services zilikuwa bora, barabara, afya, maji, elimu nk ila hawa wakoloni weusi tunakamuliwa kweli kweli na hakuna improvements ya social service walioacha wazungu, kuanzia mabarabara ni yale yale ya enzi za mkolom
 
1."Tuna umeme wa ziada" MGAO KILA SIKU?

2. Viongozi wanatembelea LC 300( Moja ina thamani ya Tsh 600M)!! Halafu...
-Wananchi wanakunywa maji ya matope
-Wanafunzi wanakaa chini
-Hospital hazina dawa,vifaa etc

3. Kila siku vyeo vipya,wizara mpya,matumizi makubwa utendaji zero??

4.Wanafunz wa maskini waliomaliza form six wanatoa hela 30000 kuapply mkopo??? Yaani unatoa hela kuapply mkopo??

5."Sisi ni jeshi la wananch" mtu kakutwa na kitambaa cha makamasi kipigo kama mbwa???

6."BOT tuna dollar za kutosha"!! EWURA kuna upungufu wa dollar?? Which is which??

7. Mwanzo---"Ule sio MKATABA ni MAKUBALIANO"
Saa hivi ---MKATABA ndio MAKUBALIANO

Mwisho

Viongozi-- Jamhur ya muungano wa Tanzania
Wananchi--Kazi iendeleee......

You will never know when the snake is pregnant.
Hapa umenadi ujinga wako
 
Kwahyo unataka viongozi watembelee IST
shule gani wanakaa chini Azania tambaza msalato bwiru ilboru Tabora kibaha
Umeme South Africa mgao mwezi mzima
Sshv East Afrika mpka central Afrika hakuna nchi inafikia kwa maendeleo kwa Tanzania
Kwa hii akili tuna kazi
 
Nchi ngumu sana hiii ukiwanayo serious, ukiyawaza sana haya utazeeka.......ukipuuza ukajali mambo ya familia Yako unaishi kwa Amani zaidi.
 
Kwahyo unataka viongozi watembelee IST
shule gani wanakaa chini Azania tambaza msalato bwiru ilboru Tabora kibaha
Umeme South Africa mgao mwezi mzima
Sshv East Afrika mpka central Afrika hakuna nchi inafikia kwa maendeleo kwa Tanzania
Hata kama sio IST kwani Prado Ina shida gani yaani lc 300 moja ni sawa na Prado 4.... Hapo Bado maintanance, etc . Hivi Kila kiongozi mpaka wakuu wa vyuo wanajua gari over 500 m serious
 
Naona unaelimisha nyoka mwenye mimba
 
Ukoo na uzao wa Alli Bongo.
Yes ni Bongo nyoso nchi ya watu wenye akili mbovu Kama kenge wa Pakistan.
Tunaingia gharama kuwalipa wanaotuibia bila huruma.
 
Daah am speechless
 
EURA kuna upungufu wa dollar?
Screenshot_20230221-101022.png
 
Machawa wakina mwijaku na Co Ltd wanakula hela kiulaini

Ova
 
Back
Top Bottom