Ifahamu nchi ya watu wa ajabu

Ifahamu nchi ya watu wa ajabu

Muelekeo wa viongozi wa Tanzania unafarakana kabisa na ule wa wananchi wanaowaongoza. Wanaongea lugha mbili zinazo tofautiana na kinzana kabisa.

Ujenzi wa taifa la Tanzania ya sasa ni mfano halisi wa ujenzi wa mnara wa Babeli. Wakati wananchi wanahitaji maji, serikali inawapa misumali.
1."Tuna umeme wa ziada" MGAO KILA SIKU?

2. Viongozi wanatembelea LC 300( Moja ina thamani ya Tsh 600M)!! Halafu...
-Wananchi wanakunywa maji ya matope
-Wanafunzi wanakaa chini
-Hospital hazina dawa,vifaa etc

3. Kila siku vyeo vipya,wizara mpya,matumizi makubwa utendaji zero??

4.Wanafunz wa maskini waliomaliza form six wanatoa hela 30000 kuapply mkopo??? Yaani unatoa hela kuapply mkopo??[emoji27]

5."Sisi ni jeshi la wananch" mtu kakutwa na kitambaa cha makamasi kipigo kama mbwa???

6."BOT tuna dollar za kutosha"!! EWURA kuna upungufu wa dollar?? Which is which??

7. Mwanzo---"Ule sio MKATABA ni MAKUBALIANO"
Saa hivi ---MKATABA ndio MAKUBALIANO

Mwisho

Viongozi-- Jamhur ya muungano wa Tanzania
Wananchi--Kazi iendeleee......

You will never know when the snake is pregnant.
Tanzania is slender crescent rather than a full circle look due to overwhelmed ignorance and mal-management.
 
Back
Top Bottom