I can see your reasoning is very shallow!
Hivi, hakuna Warundi wanaitwa akina Chiza, Zireya, Mahobhe, Ndailagije, na majina mbalimbali kama nilivyotaja hapo mwanzo? Wadanganye wajinga wenzio. Kwa taarifa yako nimefanya kazi Burundi kwa muda wa miaka kadhaa, nimefika Province ya Makamba, nilifika Mabanda na hata Munanira kwa hiyo nina uhakika wa hiki ninachosema. Pale Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam enzi hizo (sijui sasa) kulikuwa na chama cha wanafunzi kutoka Kigoma (UWAKI), members baadhi yao walikuwa na majina hayo hayo niliyotaja hapo juu!
Sasa hebu tutajie angalau majina 7 ya koo (main clans) zinazoubda kabila la Waha!