unique vee
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 128
- 172
Hapana sitokei huko ila mara nyingi nlikuwa naouna kwenye tv huo wimboUnatokea Mahenge sehemu gani mtua ?
Hapana sitokei huko ila mara nyingi nlikuwa naouna kwenye tv huo wimboUnatokea Mahenge sehemu gani mtua ?
Wapogoro kiasili ni "user friendly" na Ikulu/ TISS kwasababu wana sifa kubwa moja- unafiki.Mahenge nilikaa huko vijijini kwa miaka miwili aisee nikajua kumbe sijawahi ishi kijijini kabisa.
Network ya simu ilikuwa hamna achilia mbali umeme. Tulikuwa tunakusanyika sehemu moja yenye network unakuta watu tumeinua mikono juu tunaongea na simu yaani hakuna Siri
Kwa Sasa wamekuja halotel mawasiliano kila mahali.
Pia umeme umeingia vijiji vingi Kuna maendeleo Fulani ukilinganish na zamani.
Maji yapo ya kutosha tena hakuna kulipa bill tena maji safi sana.
Kuhusu single mamaa wapogoro ni watu jeuri sana huwezi msumbua kwa hiyo wanawake wao wanajiamini na hawaogopi Maisha yaani ni maskini jeuri haswaa.
Wana majivuno na kwao utafikiri London yaani huwaambii kitu na kwao.
Mavuno yakianza watu wanatoka mjini kwenda vijijini sherehe Kama zote sangura kwa kwenda mbele. Wanakula walicholima wenyeji kikiisha hao mjini.
Barabara ndio ilikuwa tabu wakati wa mvua mpaka utoboe ifakara umekoma. Ila Kuna hela kwa mfanyabiashara Kuna fursa za kilimo sababu ya mvua za mara kwa mara.
Kuna watu wamejichimbia huko huwatoi wanapiga biashara balaa.
Wapogoro pia wapo Ikulu na TISS Nyerere aliwaweka hapo sana sijui nini kilifanya awaamini sana.
Japo ni sehemu mkoloni alikaa kwa muda mrefu hakuna chotara kama kaskazini ambapo unaona kabisa rangi ya mzungu.
Wapogoro wengi ni weusi sijui kwa nini mzugu hakutaka changanya rangi.
Dada zao warembo sana black beauty haswaa. Nitarudi one day. Wakashiina.
Nimeipenda hiyoMpogoro katoka kwao mahenge huko, kuja dar...
Kurudi ndio anawasimulia wenzie kuwa yeye ni mjanja saanna,
"kondakta kusema, ubungu, ubungu nikabanishi, njwii, mpaka manzese kumkomoa dereva"
Yaani akimaaisha konda gari ilipofika ubungo akatangaza kituo, yeye hakushuka akabana kwenye gari, kaenda kushukia manzese kwa kumkomoa dereva.
Aisee kumbe ndio maana wapo huko sana kitambo.Wapogoro kiasili ni "user friendly" na Ikulu/ TISS kwasababu wana sifa kubwa moja- unafiki.
Yaani aweza kukusikiliza na kucheka sana nawe au kujifanya hakusikilizi lakini kumbe amekurekodi kila ulokisema.
Kumbukeni Mahenge Kuna kasi kubwa ya maambukizi, ukicheza vibaya unakutana na 350KVKwakweli mabinti wamebarikiwana sio wachoyo hata kidogo kama wewe ni mtu wa kimasihara badi utawakula sana na wana mizigo.
Bibi Kalembwana, Kiberege Moja.Malinyi kwa Kalembwani
Nitaenda mahenge nikafanye field projectKwakweli mabinti wamebarikiwana sio wachoyo hata kidogo kama wewe ni mtu wa kimasihara badi utawakula sana na wana mizigo.
Na ieleweke Mali zote ni za Mtanzania.Katiba mpya itahakikisha wakoloni hawatupi masharti kwenye ardhi yetu wenyewe KWA kisingizio cha kulinda Mali zao walizoziacha NCHINI!!
Maendeleo yatafika kote bila kujali kuna Mali za wajerumani au waingereza!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
Mtoto Mmoja wa wale wafanyabiashara Bado anaendeleza uchimbaji yupo Vizuri sanaNakumbuka kisa cha Wachimbaji wa madini wa Mahengee walivyoliwa kichwa na zombee... daah
jambo zuri aisee mzee wake alidhurumiwa uhai kisa tamaa za wanadamuMtoto Mmoja wa wale wafanyabiashara Bado anaendeleza uchimbaji yupo Vizuri sana
Mr Mapunda alikuwa busy na kusoma Masters yake UDSMNitamuuliza Mwl Mapunda kama unachosema ni cha kweli au unawapotosha wapwa.
Aiseeeeh. Kwamba Tiss ndio inapenda watu wa aina hiyo?Wapogoro kiasili ni "user friendly" na Ikulu/ TISS kwasababu wana sifa kubwa moja- unafiki.
Yaani aweza kukusikiliza na kucheka sana nawe au kujifanya hakusikilizi lakini kumbe amekurekodi kila ulokisema.
Huko Mahenge hawana barber shops hadi wanaenda kunyolewa kwa mganga ?Bibi Kalembwana, Kiberege Moja.
Wapogolo wamenyolewa Sana Kwa Huyo mganga
ali gradute zamani sana. Nadhani miaka ya mwanzo ya Jiwe.Mr Mapunda alikuwa busy na kusoma Masters yake UDSM
Una shi ngapi ?Naomba mwenye Picha za majengo ya Zamani Huko Upogoroni na Hiyo milima mikali na hizo historical Sites jijue nianzie wapi cwez kufa maskini Mimi
Pesa silipi bila matokeo ya KaziUna shi ngapi ?