Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Mahenge nilikaa huko vijijini kwa miaka miwili aisee nikajua kumbe sijawahi ishi kijijini kabisa.
Network ya simu ilikuwa hamna achilia mbali umeme. Tulikuwa tunakusanyika sehemu moja yenye network unakuta watu tumeinua mikono juu tunaongea na simu yaani hakuna Siri
Kwa Sasa wamekuja halotel mawasiliano kila mahali.
Pia umeme umeingia vijiji vingi Kuna maendeleo Fulani ukilinganish na zamani.
Maji yapo ya kutosha tena hakuna kulipa bill tena maji safi sana.
Kuhusu single mamaa wapogoro ni watu jeuri sana huwezi msumbua kwa hiyo wanawake wao wanajiamini na hawaogopi Maisha yaani ni maskini jeuri haswaa.
Wana majivuno na kwao utafikiri London yaani huwaambii kitu na kwao.
Mavuno yakianza watu wanatoka mjini kwenda vijijini sherehe Kama zote sangura kwa kwenda mbele. Wanakula walicholima wenyeji kikiisha hao mjini.
Barabara ndio ilikuwa tabu wakati wa mvua mpaka utoboe ifakara umekoma. Ila Kuna hela kwa mfanyabiashara Kuna fursa za kilimo sababu ya mvua za mara kwa mara.
Kuna watu wamejichimbia huko huwatoi wanapiga biashara balaa.
Wapogoro pia wapo Ikulu na TISS Nyerere aliwaweka hapo sana sijui nini kilifanya awaamini sana.
Japo ni sehemu mkoloni alikaa kwa muda mrefu hakuna chotara kama kaskazini ambapo unaona kabisa rangi ya mzungu.
Wapogoro wengi ni weusi sijui kwa nini mzugu hakutaka changanya rangi.
Dada zao warembo sana black beauty haswaa. Nitarudi one day. Wakashiina.
Wapogoro kiasili ni "user friendly" na Ikulu/ TISS kwasababu wana sifa kubwa moja- unafiki.

Yaani aweza kukusikiliza na kucheka sana nawe au kujifanya hakusikilizi lakini kumbe amekurekodi kila ulokisema.
 
Mpogoro katoka kwao mahenge huko, kuja dar...

Kurudi ndio anawasimulia wenzie kuwa yeye ni mjanja saanna,

"kondakta kusema, ubungu, ubungu nikabanishi, njwii, mpaka manzese kumkomoa dereva"

Yaani akimaaisha konda gari ilipofika ubungo akatangaza kituo, yeye hakushuka akabana kwenye gari, kaenda kushukia manzese kwa kumkomoa dereva.
Nimeipenda hiyo
 
Wapogoro kiasili ni "user friendly" na Ikulu/ TISS kwasababu wana sifa kubwa moja- unafiki.

Yaani aweza kukusikiliza na kucheka sana nawe au kujifanya hakusikilizi lakini kumbe amekurekodi kila ulokisema.
Aisee kumbe ndio maana wapo huko sana kitambo.
 
Katiba mpya itahakikisha wakoloni hawatupi masharti kwenye ardhi yetu wenyewe KWA kisingizio cha kulinda Mali zao walizoziacha NCHINI!!

Maendeleo yatafika kote bila kujali kuna Mali za wajerumani au waingereza!!


"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
Na ieleweke Mali zote ni za Mtanzania.
 
Wapogoro kiasili ni "user friendly" na Ikulu/ TISS kwasababu wana sifa kubwa moja- unafiki.

Yaani aweza kukusikiliza na kucheka sana nawe au kujifanya hakusikilizi lakini kumbe amekurekodi kila ulokisema.
Aiseeeeh. Kwamba Tiss ndio inapenda watu wa aina hiyo?
 
๐—ก๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ผ,
 
Back
Top Bottom