Ifahamu kampuni ya patek philippe kwa ufupi

Ifahamu kampuni ya patek philippe kwa ufupi

Fazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
635
Reaction score
1,456
Kampuni ya patek phillipe ni kampuni ya saa iliyoundwa miaka ya 1839 kampuni hii iliundwa na manguli wawili wakishirikiana na watu wengine

Waanzilishi wa mwanzo

Antoine patek alikua ni mswiss(wa Switzerland) mwamba huyu alikua anapenda sana mambo ya saa tokea alipokua mdogo akiwa na miaka 16 mwamba huyu alijiunga na jeshi ambapo walienda kupambana mwaka (1830-1831) naye akiwa ni mmja ya mwanajeshi kwenye vita iliujulikana kama Polish russian war au uprising war baada ya vita mwamba huyu nae alipata medali yake ya vita baadaye kidogo vita vilipigwa tena ambapo kundi lao lilipigwa na hawa jamaa wakalazimika kuishi uhamisho I waliingia Ufaransa lakin baadae wakaend kuishi Swetzland kutokana na pressure ya russia

Akiwa Kama mkimbizi mwamba huyu alitafuta mtu wa kushirikiana nae katika kutimiza ndoto ya ndipo alipokutana na kiraka mwingine kwa jina Jien Philippe .Mwamba huyu alikua na kipaji cha kutengeneza saa alikutana na mwamba huyu kwenye mojawapo ya viwanda huko french .Mwamba huyu aliamua kuacha kazi alipokua anafanya na kuungan na patek wakaanzisha kampuni iliyoitwa Patek & Cie. Hiyo ilikua mwaka 1851 kumbuka patrk yy alianzisha kampuni mwaka 1839 akiwa n jesh la mtu mmoja. Baada ya kuungana walianza kutengeneza saa pamoja zikiwa na nakshi za dhahabu na dimond mwaka huo walimtengenezea malikia saa Kali ilkiwa na nakshi za dimond na gold Kampuni ilizidi kukua mpaka mwaka 1871 ilikua imeshatanua matawi ikwpo Ujerumani,Usa ,Italy na nchi nyingine mbalimbali .Mwaka 1877 patek alifariki na kumwcha mwanae akiwa na miaka 20 kuendelea lakini alikataa na kugawa Shea yake kwa masikini.Mwaka 1891jean philippe akiwa na miaka 76 nae aliaga dunia na kumwachia madaraka mwanae mdogo ambaye aliendeleza harakati hi ilikua ni pamoja na kuuza hisa kampuni ilizidi kukua na kukua




Itaendelea
 
Picha zaoView attachment 1715575
IMG_20210302_144225_237.jpg
View attachment 1715576View attachment 1715577
 
Ay, what kinda water is that? It's Patek water (it's fleek water)....
Patek Water ~ Future ft. Offset & Young Thug

Patek Phillipe ndio brand ya saa yenye rekodi nyingi za saa kama rekodi ya saa ya gharama kubwa, saa yenye mizunguko mingi.
Ina ofisi na facility ndogo yenye wafanyakazi wachache ila wajuvi wa hesabu na wana accuracy hasa uwezo mzuri wa kuona. Kila component ya PP ni hand made. Unaweza agiza saa leo zamu yako kuipata ikafika miezi 16 ijayo.

Hawana njaa wala hawataki mass production. Wanalazimisha mazingira yote ya kufanya kuwepo scarcity kwenye bidhaa zao. Unaagiza leo unakuta wewe ni wa 7 kwenye msururu wa wanaosubiri order ya type hiyo. Wanao uwezo wa kurekebisha components za saa yao iliyotengeneza hata miaka 100 nyuma.

Saa zao nyingi mfano PP Nautilus unaweza omba custom version ukalipa hela tofauti. Ndio maana unakuta hii $500,000 nyingine $140,000. PP Nautilus ya Drake ni tofauti na ya Offset.

Walikuwa watengenezaji wa saa za Kifalme ndio jeuri walitoa uko. Saa zao hazivutii na hazijakaa kisanii nyingi ni za mabilionea wasiopenda show off. Hautokaa uone advertisement ya PP kama wanavyofanya Rolex

Switzerland kihistoria ni wababe wa kutengeneza saa duniani.
 
Back
Top Bottom