MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 295
- 679
- Thread starter
- #61
Mwaka 2018 serikali ilipaandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yaalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi zitatengeneza hifadhi iliyopendekezwa kuitwa Burigi-Chato. Huku Ibanda na Rumanyika kila moja ikijitegemea. Hifadhi hizo zinapakana na vijiji 58 vilivyoko Wilaya Biharamulo, Muleba, Karagwe, Ngara Mkoani Kagera pamoja na Wilaya ya Chato Mkoani Geita.Wacha tusubiriView attachment 1126380