If you wanna laugh...

If you wanna laugh...

vusile

Senior Member
Joined
May 10, 2011
Posts
137
Reaction score
14
Laugh a little: Mchaga alidondoka kwenye kisima cha maji, akapiga kelele akitapatapa. Mkewe akaja na kamba mpya akamshushia. Mume akauliza, umenunua shilingi ngapi? Mke akajibu, buku pale kwa Swai. Mume akamwambia, irudishe haraka, nenda kwa Masawe anauza jero tu. Fanya haraka aisee, nitazama.
 
Hapo utaskia anaongezea "we mama manka tena mwambie Masawe ni Mushi ndo ananunua afanye mia nne hamsini aise!"
 
hawa jamaa kiboko, hata kama una mgonjwa ukaenda kumkopa
hela atakwambia afadhali nimuongeze damu mgonjwa wako kuliko
kumpa hela chali hela
 
hii inarudiwa sana, tuipe basi hata muda kidogo ili irudi kuwa mpya.
 
Hahahahahahahah.... hii kali kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom