If you think your life is complicated read this

Wazungu wanachulia maisha tofauti sana na sisi. Sasa rais unaoa mke past menopause.

Ingekuwa bongo tungemchunguza mganga wa wa mrs Macron.
 
Mbona kuna mwanamziki mmoja wa Bongo wa Bongo fleva ya kwake ni kama hii kwa kiasi fulani kwani step father wanataka kulingana au wanalingana kiumri. Mwanamziki huyo anajina la kimziki la moja ya madini yachimbwayo.
 
Dhahabu
๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ