If you think Sanctions will stop Putin ambitions, you are Dreaming!

If you think Sanctions will stop Putin ambitions, you are Dreaming!

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,815
Russia is very big energy rich country with vast internal resources. Sanctions typically are applied against smaller nations such as N. Korea , Even then they do not always result in the desired outcome as in Cuba which has been subjected for US sanctions for decades.

What is the ambitions of Putin ? His ambitions is to rebuild the new soviet union and the tragedy of MH17 will do nothing to stop Putin's ambition it was tragic accident for him but Ukraine is only first stage , i meant its beginning of a wider campaigned to increase Russia's strength, Putin will move to other countries such as Moldova and Belorussia where there is a strong Russia population. Putin once said ''we cant ignore the calls from our people crying for help''

My advice to our country is that let us not depends much from donors lets create our autonomous economy since no one knows what will happen tommorow !
 
Those with power are also crying, who will then listen to weaker voices from destitutes!!!!

Tanzania my motherland!!!!
 
Ila tuweke ushabiki pembeni, sasa naona vikwazo vitaiumiza Urusi kwa kiasi fulani,kitu ambacho kitarudisha nyuama mipango yake ya kujijenga upya na kuwa tena miongoni mwa mataifa tajiri na yenye nguvu sana duniani.ingawa vikwazo hivi vitaisaidia sana kuweza kjenga mfumo imara sana wa kujitegemea ingawa itachukua muda.lakini kwa sasa vikwazo vimeanza kuiumiza taratibu Urusi.kwa hiyo badala ya kwenda mbele kwa kasi kama ilivyokuwa ikienda hapo awali itapiga mark time kwa muda.
 
Hivi wakuu, mmeona ule "waraka" kutoka WHO kwenda kwa nchi za Africa Mashariki ukitaka tu legalise ushoga na drug abuse ndio tupate misaada? Ilikua front page ya The East African Jumamosi. Embu ngoja nitafute link niweke.
Hii hapa:

www.theeastafrican.co.ke/news/Decriminalise-gay-sex-and-drugs--WHO-tells-EA/-/2558/2398740/-/ciomccz/-/index.html
 
Russia anajua kuwa anapigwa na hizo sanctions
 
bily

Yes, you are very very right. Obama is loosing wise...... Yesterday was talking nonsense. He say that they concentrate on Energy sanctions, Army sanctions and finance sanction.

It is pointless, Russia has got strong energy and even exporting to Europe, Army technology for Russia is higher, and to some situation America needs to join with Russian weapon project technology to gain something, Financially Russia rejected offer for IMF funds some 10 years ago. It does not need money from outside. So Obama knows what is going on, but pretends that he doesn't know.

Russia will expand more and more because they do not know where to stop it.
 
Last edited by a moderator:
Ila tuweke ushabiki pembeni, sasa naona vikwazo vitaiumiza Urusi kwa kiasi fulani,kitu ambacho kitarudisha nyuama mipango yake ya kujijenga upya na kuwa tena miongoni mwa mataifa tajiri na yenye nguvu sana duniani.ingawa vikwazo hivi vitaisaidia sana kuweza kjenga mfumo imara sana wa kujitegemea ingawa itachukua muda.lakini kwa sasa vikwazo vimeanza kuiumiza taratibu Urusi.kwa hiyo badala ya kwenda mbele kwa kasi kama ilivyokuwa ikienda hapo awali itapiga mark time kwa muda.

Mkuu ni bora ungeainisha. kivipi? kwasababu siku zote hizo yeye alikuwa ana mipango yake tu. Alikuwa hashirikiani na EU wala US. Na vikwazo wanavyovisema ni empty. Ni lini ulishasikia russia anategemea ku import energy?

Ni kichekesho jana Obama alikuwa anaongea, mpaka kaona aibu kwa waandishi wa habari walivyomuuliza maswali akawaacha kwenye mataa. Ki pesa warusi walisha kataa offer ya benki ya dunia mapema sana, kama miaka kumi iliyopita. Kwasababu IMF ni mtego ule. Hadaiwi. Kijeshi tangu enzi za hitler jamaa yuko fit na anatechnologia kubwa sawa na America.

Sasa ni bora ungeelezea katika sekta ipi?
 
Ukweli ni kwamba ile tabia ya US kujifanya anaweza kuamuru lolote popote umefikia hatua zake za Mwisho, watu wengi tunaona US amesaidia maasi mengi Duniani tena waziwazi kabisa akitumia media zile za wanywa damu za BBC, SKY, EURONEWS, CNN NA HATA ALJAZEERA kuilisha Dunia nzima ulongo...imefikia hatua hata kule Ulaya wanavutana sana je ni sawa Ulaya kuifuata US kwa kila inachotaka??"!

Ujerumani kwa mfano anaingia tu ila anasita sana na haya masuala ya US , hivi sasa hibi vikwazo kwanza Russia wenyewe wanavifurahia mana vinawafumbua macho wajiweke sawa kijeshi na waangalie upepo wa Dunia ukojee na waelekeze wapi ushirika wao, kwa sisi Afrika ilikua ni nafasi yetu ya kujijenga na kuwa na sauti kuu , lakini ndio hivyo tuna laana sisi tupo Dunniani hatuna la maana hasa hatuna Viongozi wenye maono hawapo....

Russia atashinda dhidi ya hawa jamaa na siku si nyingi mtaona tu US atabakia kama debe mana Dunia imeichoka sana US..
 
Somoche

Ni kweli kabisa. Sisi tulishakubali yaishe ndo maana US akisema baadhi ya watu humu wanakubali tu. Akili zetu ni nzuri lakini tunajilemaza tu. Kama mchina angebweteka sasa angekuwa hapo? jamani kusoma hatujui hata picha hatuoni?

Baada ya vita kuu ya pili ya dunia Mchina alikuwa masikini wa kutupwa, lakini sasa hivi yuko sawa au anamzidi america kwa uchumi mzuri. Sisi tukishasikia BBC, CNN na wengine wanaongea basiiiiii....tunaamini yote.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu OLESAIDIMU ukweli utabaki kuwa ukweli kama wachangiaji wengine walivyosema hapo juu justdoit na Somoche kama utapata access jaribu kutazama Tvs za Russia ndipo utagundua kuwa wapo pamoja na Putin na wanawaponda sana Ukraine na nchi za Magharibi inshort ni kwamba kama ile ndege ya Malaysia isingeangushwa Putin alikuwa na mpango wa kuivamia Ukraine but due to some humanitarian reasons he postponed it but the plan is in progress .

Labda watu wamesahau jinsi Bush alivyopiga kelele kama hizi kuhusu suala la Georgia kuvamiwa na Russia ila haikuzuia Urusi so jamani msishangae vituko vya Obama.

Asanteni!!!!
 
Last edited by a moderator:
hata kiongozi wa austria amekataa kujiunga na nchi za ulaya na us kuiwekea vikwazo rusia,
 
SANCTIONs kwenye nchi zenye teknolojia yake yenyewe na Energy ya GAS & OIL DEPOSIT km IRAN na RUSSIA vikwazo vinakua havina impact ndo maana tunaona miaka nenda rudi vikwazo dhidi IRAN havikuzaa matunda zaidi vimeifanya IRAN kua nchi iliyopiga hatua ktk home grown technology kwani wana kila teknolojia unayoijua wewe Tofauti na vikwazo dhidi ya QUBA na kidogo NORTH KOREA ambavyo kwakweli vimerudisha nyuma lakin kwa KOREA KASKAZIN pia vikwazo viliwasaidia kuendelea kiteknolojia....URUSI inategemewa na ULAYA kwa asilimia kubwa kwa upande wa GAS sasa km PUTIN akiamua kuweka vikwazo vya GAS ulaya ita ahaha ndomaana GERMANY yupo makini na anaona kua US inataka kuichonganisha na URUSI....RUSSIA kasaini na CHINA mega deal ya GAS kwa miaka mingi na BRICS BANK ipo mbioni so US/EU sidhani km wataweza
 
Sanctions won't affect the strong domestic grown russian economy. That is why the economy still performs. And US concentrates only on sanctions based on individual russians not the economy as a whole.
 
Uhuru Kenyatta alishausoma mchezo mapema na Ku take the other side.
 
ubaya wa hizo sanctions zinkuwa extended hadi kufreeze assets mbalimbali za warusi waliopo diaspora na hichi kitu kinamyima sana usingizi mr putin, wamarekani ni wahuni sana hawa watu wanaharibu kabisa mzunguko wa fedha na mtaji wa urusi kwa nchi za nje
 
Unadhani kwani sisi Watanzania hatuwezi kujenga muhimili unaojitegemea asa uchumi , mfano nchi nyingi zinakuwa na protectionism in domestic goods and for those foreign products government have to impose heavy tax inorder to protect the domestic products.

Uhuru Kenyatta alishausoma mchezo mapema na Ku take the other side.
 
Back
Top Bottom