If you know , you know

If you know , you know

View attachment 847170

Rais mstaafu wa awamu ya nne kwenye picha akipanda Ndege ya Rais kuelekea Mjini Harare , Zimbabwe [emoji1269] kumuwakilisha Rais John pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa Rais mteule wa Taifa hilo.




Ama kwa hakika Ndege zinampendezea huyu Bwana. [emoji23][emoji23]
Mungu aendelee kukulinda Mzee wetu.
Dah hii angle amboyo umekaa ukapiga hii pic unaonekana na ww ni mtu wa karibu sana hapo.

sent using samsung galaxy s8
 
Back
Top Bottom